Hizi picha zina ukweli??

Ukipata ngoma mbona Utaacha tu mwenyewe?

You are strong than what you think...
Mkuu MUNGU NI MWEMA dah nimekimbiza Sana gari tari zisha pasuka zaidi ya Mara 10 huu ugonjwa me siuamini kabisa kabisa Ila nadhani unamahusiano makubwa Sana na ubongo ata leo ukihisi tu una ngoma utapungua ata kilo 3 ndani ya week! Me siuwazi kabisa!!
 
Katoe Sadaka ndugu
You are strong than what you think...
 
Mtoa mada na wachangiaji wengi

Ni Kwa nini mnaona wanawake ndio wenye MAAMBUKIZI
Wanawake ndio waambukizaji
Sidhani kama mnatenda haki

JINSIA zote ni wahanga wa Hii kitu
Wako wanaume wachafu wa tabia kuliko Wanawake
Mnanyoa vipara watu wasiwajue mnavaa mashati ya mikono mirefu hata joto like nyuzi 70
Wanaume wanawake Siku hizi wapo tele hawa ndio waambukizaji zaidi kuliko MWANAMKE

Tusiwe bias kwa hili janga.
 
Habari za asubuhi, nawahi Ibadani lakini Ngoja nikujibu Mpwa, Mada yangu haiko biased na hata ukisoma baadhi ya comments zangu nimewakumbusha wachangiaji pia kuwa tunaambukizana.....

Pole Mpwa kwa kunielewa vibaya. Barikiwa Sana na uwe na siku njema

You are strong than what you think...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…