Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,805
- 165,557
Mbona matawi ya chadema, mkoani Mbowe hapeleki hata mia ya ruzuku??Serikali ya sasa imeamua kuwasahau kabisa watumishi wa umma na bahati mbaya hata vyama vya wafanyakazi vilionekana kuwa havina msaada kwa watumishi na hivyo kupoteza maana nzima ya uwepo wa vyama hivi na viongozi wake.
Kitendo cha wawakilishi wa watumishi wa umma kuwakataa viongozi wa TUCTA waliokuwepo na kuchahua wengine kina maana kubwa sana kwa mtu anefikiri kwa mapana.
Tafsi rahisi ya matokeo ya uchaguzi huu ni kuwa watumishi hawaridhishwi na sera za serikali ya awamu hii zinazohusu watumishi wa umma na zaidi ni jinsi serikali hii inavyowatendea watumishi na ndio maana wamewakataa viongozi waliokuwepo kwa kushindwa kuwatetea maana wamekuwa kimya kama vile awamu hii kila kitu kiko sawa kuliko hata awamu iliyopita jambo ambalo si kweli hata kidogo.
Mwenye kutazama mambo kwa mapana na marefu atanielewa.
Sasa wewe mtumishi nyumban unajigamba nawe ni mtumishi wa uma hahaha jaman hii awamu tutaona mengiAcha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
sasa wewe mambo gani umetazama kwa mapana?hacha upumbavu wako wa kuchonganisha watuSerikali ya sasa imeamua kuwasahau kabisa watumishi wa umma na bahati mbaya hata vyama vya wafanyakazi vilionekana kuwa havina msaada kwa watumishi na hivyo kupoteza maana nzima ya uwepo wa vyama hivi na viongozi wake.
Kitendo cha wawakilishi wa watumishi wa umma kuwakataa viongozi wa TUCTA waliokuwepo na kuchahua wengine kina maana kubwa sana kwa mtu anefikiri kwa mapana.
Tafsi rahisi ya matokeo ya uchaguzi huu kwa mtazamo wangu ni kuwa, watumishi hawaridhishwi na sera za serikali ya awamu hii zinazohusu watumishi wa umma na zaidi ni jinsi serikali hii inavyowatendea watumishi na ndio maana wamewakataa viongozi waliokuwepo kwa kushindwa kuwatetea maana wamekuwa kimya kama vile awamu hii kila kitu kiko sawa kuliko hata awamu iliyopita jambo ambalo si kweli hata kidogo.
Mwenye kutazama mambo kwa mapana na marefu atanielewa.
Umeambiwa "Wenye akili wataelewa"Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Wenye akili tu! Ndio watakao elewa...sasa wewe mambo gani umetazama kwa mapana?hacha upumbavu wako wa kuchonganisha watu
Makusudically...[emoji12]Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Hakuna mtumishi wa umma anayeweza kuongea hizi pumba! Pia mtumishi wa ndani sio mtumishi wa umma!!Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Mbona fisiemu wanawaza wizi tu sisi hatusemiWewe jamaa kila comment au mada unawaza uchaguzi tu.
Hata kabla ya uchaguzi uliopita ulikuwa unawaza uchaguzi. Matokeo yake uliyaona.
Uchaguzi huo umepita na sasa umeendelea kuwaza tena uchaguzi. Hujagundua kama fikra zako zimekuwa kama vicious circle.
Kwenye siasa za nchi masikini kama Tanzania, 2020 ni mbali sana kwa maana kuwa huwezi kufahamu kitakachotokea.
Wewe mwenyewe ulikuwa kila mara unamnanga Lowassa kuwa ni fisadi na hatakiwi kuwa mgombea Urais lakini kabla ya miezi minne kuingia kwenye uchaguzi, huyo huyo Lowassa akawa mgombea wako wa Urais Tanzania.
Hiki unachodhani ndio jeneza la CCM kisiasa usijekushangaa likawa ni jeneza la chama unachokishabikia.
Wewe ni mpuuzi kabisa,unawaza kwa kutumia nyuma au?Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Mtumishi wa Lumumba,unaleta pumba,Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Uwezo wako wa kujenga hoja uko chini sana.Mbona fisiemu wanawaza wizi tu sisi hatusemi
kweli hamjasaulika nyongeza kama kawaida imeongezwa na area zote mmelipwa?Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.