Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,896
- 155,923
Mwenzetu hajaja ofisini, tangu asubuhi tumejaribu kumpigia simu lakini simu yake ikawa haipatikani.
Jioni hii nimemetembelea nyumbani kwake na nimebahatika kukutana naye. Anasema lkashindwa kuja kazini kwa kuwa mkewe kamchomea nguo zote, kitambulisho cha ofisi, kadi ya kupigia kura na kadi za benki.
Kisa? KAMFUMA na msg kwenye simu inasema, dear nimeshindwa kukuletea flash yako, nime imisplace, naomba univumilie.
acha hizo,hayo makorokocho magumu kumeza kwangu hayapiti kabisa, koo lenyewe laini hili.Hahahahahaa!!!BujiBuji akili zako zimechanganyika na valuer ngapi saa ahizi?
labda alifkri flash ni sehemu nyeti.heeee! Makubwa.Kilichomfanya achome vitu vya mumewe ni hilo neno 'dear' au?Hajaenda shule huyo. Mpe pole rafiki.
hus unamanisha sehemu nyeti kubwa au sehemu nyeti ndogo?labda alifkri flash ni sehemu nyeti.
zote zotehus unamanisha sehemu nyeti kubwa au sehemu nyeti ndogo?
sasa majirani si watakuwa wakijipatia unyumba wa bwerereHasira hasara!jamaa itabidi asitoe matumizi mwezi mzima ili afanye shopping.
sasa majirani si watakuwa wakijipatia unyumba wa bwerere