Wakusolve
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 427
- 577
Hizi hapa ni dalili au ishara umezaliwa kuwa mkubwa kimaisha na Mafanikio
1.kuota ndoto unapanda juu ya Mlima, hii ni ndoto inaonesha kuinuliwa kwako au kibali kutoka kwa Mungu na kuwa mtu mkubwa.
2.Kuota ndoto kupaa angani au hewani , hii pia ni ndoto ambayo inanonesha kuja kuwa mkubwa au kuinuliwa na Mungu na kuwa na kibali kikubwa.
3.kupitia changamoto ngumu au zinazohusiana na watu, kwa mfano toka udogoni unapitia changamoto ngumu tofauti na wengine hii ni dalili ya Mungu kukuandaa ili kuwa mkubwa.
4.kuwa na alama M mkononi, Hii ni sayansi ya kale bali inaukweli ndani yake watu wenye alama M mkononi ni watu wachache duniani, na ni watu ambao ameandaliwa kuwa wakubwa.
5.kuwa na Moyo wa upendo toka utoto au wakusaidia lakini linapokuja swala lako watu wanakutenga, kukimbia au kukupuuza hii ni dalili pia ya kuwa mkubwa Mungu kabla ajakuinua ukupitisha kwenye changamoto kama hii ili kukufundisha na kuweza kuleta matokeo makubwa katika jamii.