AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Mkuu mwenzako akipiga project 1 anaweza pata hadi 50m akipiga project 5? Huyo mwenzako??
Sio rahisi kama unavyofikiri mdogo wangu, kuwa project manager lazima uwe na experience iliyoshiba na mara nyingi wanapendelea watu wa masters ambao pia wana record ya kusimamia projects kadhaa.
Ili kukusaidia taaluma ya kusomea degree inategemea na mchepuo gani umemaliza kidato cha sita na matokeo uliyopata kuanzia hapo atleast tunaweza kujadil ni taaluma ipi itakufaa.