Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Sorry kwa kutumia neno kupewa ila nimenunua 10,000/=Umepewa bure au umenunua?
Kama unapata speed ya 1MB/sec average kwa 3G provider is it worthy kulipia 100,000/= ya Modem na 10,000/= ya line na 10,000/= ya 1GB per week kwa 4G provider afu speed ikipanda sana unapata 3MB/sec?kwa 4g ni speed ya kawaida ila ukilinganisha na hali yetu ya speed hio ni speed nzuri. lets hope hawatapandisha vifurushi vya 4g bei.
hii pia itasaidia kupunguza msongamano kwa watumiaji wa 3g kama watatumia infrastructure tofauti.
Kama unapata speed ya 1MB/sec average kwa 3G provider is it worthy kulipia 100,000/= ya Modem na 10,000/= ya line na 10,000/= ya 1GB per week kwa 4G provider afu speed ikipanda sana unapata 3MB/sec?
Yaani average yao ni 1MB/sec-1.8MB/sec hiyo 2MB/sec inaenda mara chache
Mm nafikiri Technologia ya 4G iko expensive kuanzia kununua Vifaa na vifurushi sasa wasitupe low quality speeds....
Labda waloenda kushuhudia hii 4G pale Mlimani City watupe feedback
Ndio kama simu yako ina 4G enabled na inaendana na Bands zao basi utapata huduma hiyo kwa simu yakoVipi kwa simu za mkononi hiyo 4g itapatikana
Kwa kuweka kwenye simu ni sawa na nafikiri nao wame target sana simu labda ndo maana...kama kuna extra cost hailipi lakini kama unaeka line tu kwenye simu na vifurushi ni same price sio mbaya
Njunwa Wamavoko katika hiyo picha uliyoambatanisha kuna vitu viwili naviona...
1. Kasi ya mtandao (download & upload speed kwa wakati huo wa hiyo session)
Tazama chini hapo kwenye vijishale viwili, hicho chekundu na kijani.
Kwa uelewa wangu hii ndio kasi ya mtandao kwa wakati na eneo ulilopo.
2. Kasi ambayo kifaa chako kimeruhusu au mfereji unaoutumia kupakua umeruhusu.
Sasa bado sijajua concern yako au wataka kutupatia taarifa gani mkuu?
Sasa tutapata huduma ya
4g kwa line mpya au hizi tunazotumia mkuu
Unaitaji Line mpya ila pia unaruhusiwa ku swop uliyo nayo wakai upgrade kuja 4g na itakua na uwezo wa kutumika kwenye 4G na 3G
ongeza maarifa zaidi kwenye page yao
Tigo 4G | Tigo.co.tz
Sasa hivi nina line ya tigo ambayo natumia huduma mbali mbali...
Je nikitaka kununua hiyo ya 4G naweza kutumia huduma nyinginezo kama sms, kupiga na kupokea simu?...
Na je nikiwa najiunga vifurushi hivi vya kawaida vya internet kama cha siku au wiki au mwezi itakuw ainapiga mzigo kwa speed ya 4G?...
Au kuna vifurushi special vya 4G? Gharama zake zipoje?...
Na hiyo 4G naipata Dar tu au nchi nzima?...
Shukrani..
CC Chief-Mkwawa
Kwenye 3G kwa hapa DSM maeneo mengi wamechemkakutuma msg inafika kesho,namba umesav unaambiwa haipo,ukipiga cm ni network failure often,3g yenyewe imewashinda ni mtandao usio aminika kwa upande wangu umenizingua occasions nyingi zenye umuhimu mpaka nimeuhama huu mtandao wajitahdi kuiprove vitu vingne ila sio kukurupuka na hyo 4g kwanza wataitumia watu wangap?wanaongoza mbio kwa baskeli ya barafu wakat jua linachomoza hata waseme wanaenda 6G ni magumashi tu