Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Mkuu hii inaingia namba tatu hahahaYule anayejua kinidekea kwa sauti ya kubana pua mpaka nikahonga kila kitu nilicho nacho mifukoni....
Namba 4Mcha Mungu
Tupia majibu mkuuYote si majibu
Mwanamke mzuri ni yule anayejua kutafuta chapaa mwenyewe,anayejua dhamani yake na anayejitambua
ha ha ha haMkuu hii inaingia namba tatu hahaha
Ukiwa mwanaume lazima uhonge...yani kuhonga ni moja ya sifa za kiumeha ha ha ha
ba wewe ni muhongaji mzuri mkuu??
Hahahaha awe anajua kuchambana na mastar instagramNgoja nikwambiee
Mwanamke mzuri n mwenye sifa zifuatazo
•mvaa mawigi
°mchora kucha
°muweka kope za bandia
°mpiga selfie hata akiwa chooon
°mpenda starehe kuliko maendeleo
°mpiga umbea saluni
°kujichubua awe Kama lady gaga
°mpenda sifa...
Nyingine ongezea mwenyew
Mjumuiko wa hayo yoteHata dunia ibadilike vipi na mambo yabadilike vipi lakini mwanamke mzuri ni mwenye sifa hizi
Mwanamke mzuri ni yule
1. anayejiheshimu mtaani,
2. Hodari jikoni
3.malaya kitandani.......
Hongera zao aiseeMwanamke yyt
Anayejitambua na
Kujiheshimu huyo
Good girl na n wife material
Kinadada mnaojitambua
Hongeren sana
Power ya mbunye ni hatari sanaNi Yule Ambaye Ukimhitaji Anakuja Muda Muafaka Na Ukitaka Mbunye Anakupa Wala Hakusumbui,na Niwape Angalizo Dada Zangu Siye Wanaume Tunachokipenda Kwenu Ni Kungonoka Tu Hakuna Kingine Ndio Maana Tukiona Hatupewi Mbunye Huwa Tunatafta Michepuko Yakutoa Haja Zetu
HahahahahaHahahaha awe anajua kuchambana na mastar instagram