Hizi ndizo sababu kubwa...

Endelea kudanganywa mpaka ukute watu wakulishe devils's scripts kuwa ukiua jamii nyingine utaenda mbinguni au kuwa wengine wote hawafai sisi ndo tunafaa. Elimu inatusaidia kuhoji hata hizi Dini zenu.mfano unyanyasaji wa wanawake,wanawake kuwa treated mama objects of desire n.k

Na hi elimu ya hapa duniani... Haitokusaidia Sana.. . Kama huna ile elimu nyingine.
 
Idd kwa mwaka zipo ngapi? Kuishi na mke mjeuri ni sawa na kuishi na shetani.
Ndiyo ilivyokua kwa babu zetu huku Pwani. Mume unaongea nae kwa nyama ya ulimi. Mke akiwa jeuri Idd hapati khanga.
 
Kwa nini alioa mwanamume mwenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…