Hizi ndizo movie kali 2021 so far

Hizi ndizo movie kali 2021 so far

Tunakwenda kuumaliza mwaka 2021 nimekuwa kweny hii industy ya movie mwaka mzima sasa movie zote zilizotoka mwaka huu nmezifatilia kiundani na hizo ndio top 20 kwa movie kali za mwaka huu
1.outside the wire
2.monster hunter
3. without remorse
4, NOBODY
5, snake eyes
6,Fast saga
7,the misfit
8, infinite
9,motal combat
10,kate
11,black widow
12,THE VAULT
13,No time to die
14,Dune
15,army of the dead
16,venom 2
17,don't look up
18,matrix resurrection
19, army of thieves
20,RED NOTICE

Note;list ipo kwenye random order.
Mortal kombat na venom2 sio kweli labda kwa watoto wa shule ya msingi

Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
 
Tunakwenda kuumaliza mwaka 2021 nimekuwa kweny hii industy ya movie mwaka mzima sasa movie zote zilizotoka mwaka huu nmezifatilia kiundani na hizo ndio top 20 kwa movie kali za mwaka huu
1.outside the wire
2.monster hunter
3. without remorse
4, NOBODY
5, snake eyes
6,Fast saga
7,the misfit
8, infinite
9,motal combat
10,kate
11,black widow
12,THE VAULT
13,No time to die
14,Dune
15,army of the dead
16,venom 2
17,don't look up
18,matrix resurrection
19, army of thieves
20,RED NOTICE

Note;list ipo kwenye random order.
Hizi unazipataje mkuu? Kwa kununua hizi CD za Kina lufufu au unadowload, kama unadowload naomba msaada wa app au link natumia smartphone lakini.
 
Hizi unazipataje mkuu? Kwa kununua hizi CD za Kina lufufu au unadowload, kama unadowload naomba msaada wa app au link natumia smartphone lakini.
Nenda yts.mx mkuu kajipakulie manyama, ila kama movie ni Mpya na bado inaoneshwa kwenye cinema usidownload subiri kwanza hadi itoke clean version, maana ukiishusha itakuja version ya cinema
 
Bila ile battle of the lake chaingjin list ni batili
 
vipi no way home ilifanikisha kukubadilisha?
Kabisa mkuu.
Nilikuwa hyped kuwaona old spider-men na inanilazimu kusema kwamba ndio best movie kutoka mwaka jana.

Ila ili kuilewa vizuri itabidi uwe fan wa spider-man franchise zilizopita.
 
[emoji28][emoji28]we inaonekana unafatilia Tv series sana
Series nimeanza kufuatilia mwaka huu tena zile za marvel, kipindi chote hicho nilikuwa naseleleka na movies tu mwanzo mwisho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom