ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Habarini JF
Chadema ni chama kikuu cha upinzani ambacho kimejichukulia umaarufu kwa mda mrefu sana na kupata wanachama wengi hapa nchini tofauti na vyama vingine vilivyo wahi kuwa vyama vikuu vya upinzani!
Kundi kubwa la vijana na wasomi wengi vijana wamekuwa wakijiunga kwa wingi sana na Chama hiki kwa lengo la kuletea upinzani nchi hasa kwa yale mabaya yafanywayo na serikali iliopo madarakani!
Umarufu wa Chadema ulikuja mara baada ya kuanza kupigania swala la ufisadi hapa nchini na watu kuamini hiki ndicho chama kitakacho wakomboa na wengi kujiunga nacho
Kwasasa Ukiangalia kwa umakini na ukifuatilia kwa ndani utaona kuwa Chadema kwa sasa ni chama kilicho kosa DIRA na kinacho kwenda kufa na kuondoka kutoka kuwa chama kikuu cha upinzani hapa nchini
Ingawa wanacha wa Chadema wanachangia katika kupoteza dira ya chama hiki,Viongozi wamekuwa ndio sababu kubwa ya Chama kupoteza dira kutoka na kauli zao wanazo zitoa mbele ya waandishi wa habari na kwenye majukwaa ya siasa
Kabla sijakuletea kauli zinazo pelekea kukiboa chama hiki nitoe Rai yangu kwa wanachama na Viongozi wa chama hiki
Wanachadema wote na wenye mapenzi na chama hiki ni lazima waache tabia ya kuabudu miungu watu nikiwa na maana kuwa wasipende kuunga mkono kila kitu ambacho kiongozi wao yeyote akikisema ni sawa na lazima wafuate,waache kujiona kuwa bila wao nchi haiwezi kwenda!
Wawe na msimamo wa wazi kuhusu mwenyekiti wao wa chama na wasione aibu kumuomba aachie madaraka
Wasimamie katiba vizuri ya Chama na wasikubari ivunjwe kwa namna yeyote ile!
Kwa viongozi wa chama hiki Rai yangu ni kuwa lazima wawe makini kwa kila kauli wanazo zitamka na kujua kuwa wapewa dhama ya kukisimamia chama hiki na si masilai yao binafsi
Tazama kauli ambazo zinawahukumu!
1)Fisadi mkuu hapa nchini ni Lowassa! Lakini mwisho wa siku walimchukua na wanamtumia hadi leo ( wanachama hili mnalichukuliaje)
2)Tusipo shinda uchaguzi wa mwaka huu 2015 basi hatutakuja kushinda tena uchaguzi mkuu mpaka baada ya miaka 50 mingine ( viongozi wengi wamelisema hili wa chadema sijajua 2020 kama wanachama watakuwa na moyo tena wakutetea chama chao)
3)Raisi Magufuli anatekeleza ilani etu ( sijui kama hili ni kweli kwasababu kipindi chote cha kampeni sijawahi ona wala kusikia mgombea yeyote wa chadema akikabidhiwa ilani ya chama hicho sijui ni ilani ipi?) Na likitokea jambo la kuwaumiza wao wanabiri kauli hio sio ilani yetu.....sijui lipi ni lipi
4)Tumetuma wanasheria wetu wameenda mahakama ya kimataifa kupinga matokeo ya uchaguzi na tusubiri lolote linaweza kutokea ( Hatujapata mrejesho hadi leo hii mahakama hio ilisema nini na wapi wamefikia kumbukeni hadi picha zilioneshwa wakidai wapo huko na kesi yao itaanza kusikilizwa!
Zipo nyingi zingine nawaachia wadau waongeze zile kauli ambazo kwa sasa zinaifunga chadema!