mkuu vipi hii ya kadoda11.haikuchekeshi...mimi kuna ya mdau mmoja ambaye kwa sasa haonekani jf.anaitwa MBUZI DUME.dah hii user id ilinibamba sana
Hii ya kado nilicheka sana akati niko skull kuna jamaa alikua anaitwa hivyo real name kabisa! Dah sasa na uyo MBUZI DUME naye! Itabidi akija tumuulize sababu ya kujiita hivyo!
sisi ni maumivu mwanzo mwisho karibu jukwaa la siasa ila kama mna kisukari msije...
Kuna jamaa analitwa Mbui Mzee sijui alipotelea wapi