Joseph Nyoni
Member
- Apr 21, 2024
- 5
- 2
Umejitahidi sana kufafanua ila umesahau chawa ni mtu wa hovyo hovyo tu anaesifia vya uongo ilimradi apate chochote kitu.Kunatofauti kati ya Chawa na Mzalendo katika Tanzania ya sasa,
Kwanza, Sifa ya chawa ni kusifia mtu au watu kwa vitu wanavyomiliki kwa mfano magari,nyumba,Pesa,Uzuri,Kupendeza etc
Pili, Wakati Mzalendo anasifia record za Mtu au watu na mfano wa hizo record ni kama , Ushujaa wa mtu kwenye kupinga rushwa,Uonevu,Ufisadi, Uzembe na Matendo mengine mabovu.
Tatu, Chawa anatafuta faida yake wakati Mzalendo anatafuta faida ya Taifa au nchi kwa ujumla wake.
πππMama aliwakataaHivi wale chawa wa mama wapo!
Ova
,,ππUmejitahidi sana kufafanua ila umesahau chawa ni mtu wa hovyo hovyo tu anaesifia vya uongo ilimradi apate chochote kitu.
Wale walikuja kinomanomaπππMama aliwakataa