Hizi ndio kampuni 10 za ndege zenye usalama zaidi

Hizi ndio kampuni 10 za ndege zenye usalama zaidi

Bora China haipo nasikia baadhi ya ndege zao zinaongoza kwa ajali
 
Hii list ipuuzwe Kwanza baadhi ya ndege kwenye hiyo list zinafanya safari hadi Dar es salaam TANZANIA ambayo ipo Bara la Africa lakini hapo hawajaelezea huo ni ubaguzi wa kimazingira
 
Na hawa wenzetu unity air zanzibar? Usalama wao ukoje ? Nani amewahi fanya nao safari
 
Back
Top Bottom