Hizi mvua zitawatoa pangoni Mamlaka ya Hali ya Hewa

WilliK10

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
601
283
Naona hivi mvua zimewatoa pangoni mamlaka ya hali ya hewa.
Wamepata la kuongea sasa.
Inaonekana hawana uwezo wa kutabiri kama mvua itanyesha mpaka ianze kunyesha.
Halafu wanaleta mnyumbuliko wa sentensi.
Yaani magumashi kila kona.
 
Kaangalie taarifa za habari. Si vibaya kuamini unachotaka kuamini.

Kuna wale wasio na access kwenye vyombo vya habari wanakutegemea wewe mleta habari kama chanzo cha habari ukiwa na evidence
 
Naona hivi mvua zimewatoa pangoni mamlaka ya hali ya hewa.
Wamepata la kuongea sasa.
Inaonekana hawana uwezo wa kutabiri kama mvua itanyesha mpaka ianze kunyesha.
Halafu wanaleta mnyumbuliko wa sentensi.
Yaani magumashi kila kona.
Inaonekana uwezo wako wa kufuatilia mambo ni mdogo na umeanza baada ya kumaliza shule November 2016. Nenda Ofisi ya DC hapo ulipo utapata machapisho na utabiri wote wa huko nyuma na pia utapewa kabrasha la utabiri kila quarter.

Kama huamini utabiri huo ungana na Wale wanaopiga magoti kumwomba Mungu alete mvua. Fanya tafiti dada kabla hujakurupuka.
 
Wale wale!
 
Bora umemwambia, halafu anaonekana kama mgeni na hili Jukwaa,
 
Inaonekana uwezo wako wa kufuatilia mambo ni mdogo na umeanza baada ya kumaliza shule November 2016. Nenda Ofisi ya DC hapo ulipo utapata machapisho na utabiri wote wa huko nyuma na pia utapewa kabrasha la utabiri kila quarter.

Kama huamini utabiri huo ungana na Wale wanaopiga magoti kumwomba Mungu alete mvua. Fanya tafiti dada kabla hujakurupuka.
Eti utabiri wa huko nyuma!
Tunatabiri kurudi nyuma au kwenda mbele?

Kwa taarifa yako wewe dundo ni kuwa hicho kitengo ni chenga. Chenga tupu.
Wakisema jua, inanyesha mvua and vice versa.
Utabiri ni probability with confidence level fulani.
Huwezi kusema mvua likaja jua.

Wewe ndo umekurupuka na kudandia gari kwa mbele.

ELIMU ELIMU ELIMU.
Halafu pata [HASHTAG]#vyeti[/HASHTAG] original.
 
Back
Top Bottom