Hizi Mila Nyengine hizii..

Kweli Elimu ni Muhimu.
Huyo jamaa amekuja kuonesha kuwa yeye ni kidume.
Wenzake wanaandika na kupitia ajenda yeye amezubaa tu hakuna anachofanya.
Inaonekana alihudhulia mkutano ili kujionesha yaani kuwa kama onesho flani a.k.a. kuji (display)
Haonekani kujishughulisha na ajenda za mkutano.
Ni kwamba anajidhalilisha tu na kuonekana kama mlozi fulani.
Huo uwakilishi anaufanya vipi wakati kazubaa tu.
Ni mila za kijinga, za mtu mweusi, awe mwafrika au kabila lolote lile bado anamdhalilisha mtu
mweusi.
Kama alivyosema mchangiaji, kuvaa nguo ni lazima katika jamii yoyote iliyostarabika,
Mungu alifundisha kuvaa nguo zenye kusitiri mwili.
Hayo ndo matokeo ya kuendeleza ushirikina na imani za mizimu.
Hiyo jamii inahitaji huduma ya U missionary.
Ametudhalilisha sana watu weusi.
Hasa Waafrika.
Kweli
Kujua Mafundisho ya Mungu ni Chanzo Cha Hekima.

Am Very Sorry.
 
Hahah nmecheka sanaa.. Alafu jamaa hana time kabsa!!
 
Dah....si kweli kwamba suti ni mavazi ya wazungu au kwamba sio utamaduni wetu....Mabadiliko ya mavazi yameendana na mavadiliko ya teknolojia katika utengenezaji wa mavazi etc.....hata hao wazungu karne za nyuma hawakua na nguo za nyuzi au za vitambaa kama sasa hivi...walikua wakivaa ngozi na manguo mengine kama magunia...but hawakukubaliana na hali hiyo ndo maana now wanatengeneza nguo za pamba etc....Ni sawasawa useme sababu mababu zetu walikua wanatembea wamepanda punda au kwa miguu bac useme kupanda gari sio utamaduni wetu...sio kweli....au bac sababu wahenga wetu hawakua na umeme wanaota moto bac tusitumie umeme na sis
 
Utamaduni Ni nini? Je gari,umeme,ni vitu vya. Kitamaduni?
 
mkumbushe pia wale red indies wana siku yao ya utamaduni na wako comfortable na utamaduni wao
nadhani ttzo ni umagharibi ndio chanzo cha kukana tamaduni zetu za kiafrika
 
Japo nahuzunika kwa baadhi ya mambo kwa ss wa Africa,lakini cijutii asili yangu kwa itabaki kuwa ile ile.Yaan siwezi badili hata ukucha wangu kuwa wa brue hivyo I love my position
Bora ungekaa nyuma ya keyboard ukiwa uchi na kuandika haya uliyoandika ili tuamini kuwa kweli asili yako bado ni ile ile.
 
Kama hilo ndiyo vazi la taifa huko ndiyo kwa kwenda kufanya utalii

 
khaa! kweli duniani kuna mambo hata KIKANDAMIZIO kinavishwa ala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…