Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 2,013
- 2,809
Habari za wakati huu ndugu zangu Wa JF Natumaini nyote ni wazima naomba kuuliza hii kitu 👇 Huwa inapatikana sehemu Gani!? Na Huwa inaenda kwa bei gani!? Mawazo yenu ni muhimu
Nipo mkoani hukuIngia jiji utazikuta na bei ya kuanzia
Nipo mkoani huku
vya bure wakiume utunze vzri ugoli wakoDaaah!!!!
Nilishaendaga kula popcorn za bure pale makumbusho.
Tafuna sanaaa mpaka meno yakauma.
Namaanisha jiji tanzaniaNipo mkoani huku
Sh 300,000 maduka ya vyombo vya nyumbaniHabari za wakati huu ndugu zangu Wa JF Natumaini nyote ni wazima naomba kuuliza hii kitu 👇 Huwa inapatikana sehemu Gani!? Na Huwa inaenda kwa bei gani!? Mawazo yenu ni muhimuView attachment 3326233
Sie tunakula, hayo mengine mtajua nyievya bure wakiume utunze vzri ugoli wako
SawaNamaanisha jiji tanzania
SawaIngia jiji utazikuta na bei ya kuanzia