Hizi katuni zinabeba ujumbe mzito sana.

unaweza ukawa ujumbe mzito lkn usiwe na ukweli ktk namna isiyoeleweka!
 
Huwa zina maana kubwa, sema katuni huwa znabezwa saaana mtu akiona anacheka tuuu yanaisha
 
Kipanya anapaswa sasa amchore huyo jamaa aonekane amelemewa na uzito wa kichwa! Hilo komwe na devu (kidevu ni kidogo)
 
Tumuwekee bima kipanya!!
Bima ya maisha.
Wala kipanya siobwa kumuwekea bima.
Na huyo hapo hana kitu.
Kuna mtaalamu anaitwa said michaeli.
Huyo jamaa ni nyoko.
Kuna siku bashite uvumilivu utamshinda.. Ukiona alivyochora bichwa la magufuli utacheka aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…