Hiyo ni web page html code for line break. Inawezekana wakati wa ku-quote unaweka text yako sehemu isiyo sahihi thats why hizo code zinatokea. jaribu kueka text yako after neno"
ndo nimejaribu hapa lakin nimeziona kwa mbele hebu niangalie post itakuwaje?

[/QUOTE]

Zinakera!
Sasa tujue ni msaada kwa mobile users?
Au ni technical error?
Au kuna tatizo kwa mod?

Tangu hizi alama zimeanza ni mda mrefu sasa hutukujulishwa kama errors zinazojitokeza!

Na huo mda wakusubiri hadi tatizo limalizwe kushughulikiwa ni lini?