hizo hel mpe huyo niliyem bold hapo juu akupangie bajet...HIZI HELA NIZITUMIEJE?
Jamani nimepewa Bonus hata sijui ya nini, ila nataka nizitumie ndani ya weekend hii ziishe. Kuna vitu nimeorodhesha hapa naomba ushauri ni kipi cha muhimu nikifanye kwa hili jibonus.
Nipeni maushauri, zinaniwasha aiseee...fasta.
- Niende tour, hii inamaanisha kula, kunywa, kulala mbali na nyumbani--Company inahitajika(ntatoa mwaliko hii ikipita)
- Niende Mr price au siju wapi kuna nguo nzuri ni"change wadrobe" yangu, lol--expart wa kuchagua mavazi na viatu hapa atahitajika
- Nifanye sherehe ya kuzaliwa niliyoiahirisha mwezi wa kwanza, lol--jiandaeni kualikwa
- ...
- ...
- ...
Sajuki ndo nani na nitampataje? Naomba namba yake ya simu. Naweza kupata thawabu hapa
Shem Mungu akubariki manake umetoa boonge la ushauri....kamsaidie SAJUKI...anaumwa sana!
wala usipate tabu...nitumie kwenye mpesa no 0754 783283...ok?hizo hel mpe huyo niliyem bold hapo juu akupangie bajet...[/QUOT
Asante kwa ushauri, hiyo ntaongeza kwenye namba 5. hapo-- Halafu fanya fasta uje uchukue kama uko serious, sitaki nifike nazo j3
Kama una nia ya dhati nenda ofisi za tbc1 upeleke mchango wako.Sajuki ndo nani na nitampataje? Naomba namba yake ya simu. Naweza kupata thawabu hapa
wala usipate tabu...nitumie kwenye mpesa no 0754 783283...ok?
sijui nini akinywa bia analewa anafurahi...akienda tour anaenjoy na kujua mazingira mapya...haya akikupa ww inakuweje hapo?
mi nimekupa ili utume hela au uipige!? we tuma hela hizo...kupatikana au kutokupatikana hiyo sio kazi yako....sawa!!Mbona simu yenyewe haipatikani? Au umekosea namba...ihakikishe, halafu ndo unipe. Ila ntakugawia idgo tuu, kuna watu wameshanipa ushauri wa nini cha kufanya
sijui nini akinywa bia analewa anafurahi...akienda tour anaenjoy na kujua mazingira mapya...haya akikupa ww inakuweje hapo?
Asante kwa kunisaidia BAGAH, ntakubakizia ya soda na wewe.
na utahakikishaje kama zimefika au lah kama hujatuma kwanza...!!??Nataka niwe na uhakika kama zimefika kweli, sasa kama haipatikani ntahakikishaje kama zimefika?
HIZI HELA NIZITUMIEJE?