Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,359 Sep 28, 2021 #1 Mmekaribishwa kwenye ligi, hata hamjakaa vizuri mnaanza vijembe! Wait and see Poleni wana mtibwa..
Zemanga zoze JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 1,021 Reaction score 1,739 Sep 28, 2021 #2 Kabla ya hiyo gemu mtibwa ndo alianza kumwambia mbeya kwanza kwamba ajue hachezi na watoto wenzie wa daraja LA kwanza
Kabla ya hiyo gemu mtibwa ndo alianza kumwambia mbeya kwanza kwamba ajue hachezi na watoto wenzie wa daraja LA kwanza
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,343 Reaction score 13,424 Sep 28, 2021 #3 Planett said: Mmekaribishwa kwenye ligi, hata hamjakaa vizuri mnaanza vijembe! Wait and see Poleni wana mtibwa..View attachment 1955753 Click to expand... Kwani mwenye ligi ni nani?
Planett said: Mmekaribishwa kwenye ligi, hata hamjakaa vizuri mnaanza vijembe! Wait and see Poleni wana mtibwa..View attachment 1955753 Click to expand... Kwani mwenye ligi ni nani?
Ramon Abbas JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 1,961 Reaction score 3,923 Sep 28, 2021 #4 kichomiz said: Kwani mwenye ligi ni nani? Click to expand... masau Bwire alishatolea mwongozo hili suala lako.
kichomiz said: Kwani mwenye ligi ni nani? Click to expand... masau Bwire alishatolea mwongozo hili suala lako.