hizi bia za leo vipi,

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,747
jamani, nyumbani nina king'amuzi lakini kutokana na huu mgao wa waziwazi wa umeme unaoendelea imebidi niende bar kuangalia mpira kati ya MAN U NA LIVERPOOL. yaani mechi haijaisha nimesha kata laga 10 na hazipandi. isijeikawa breweries nao wana mgao wa umeme hivyo laga haziivi vizuri?!. nawatakia week enda njema.
 
Ongeza mzinga mmoja wa valuer hiyo itakaa sawa!
 
mm napiga smirnoff baada ya kuona mwez mzima kila weeknd nakunywa silew
 
Wewe utakuwa Liverpool mwenzangu ndo maana umechanganyikiwa mpaka ukapiga laga 10,sie kikosi chetu cha Liverpool ni kibovu wala huhitaji kujitesa kunywa laga zote hizo,Liverpool ilikuwa ile ya miaka ya 2007,2008 na 2009 ambapo kila tukikutana na big four hata kama juzi yake tumefungwa na QPR tulikuwa tunaumiza tu.Kwa sasa Liverpool ina mchezaji mmoja tu Suarez wengine wote wanakula mshahara wa bure tena ningekuwa mmiliki wa Liver ningewapunguza mshahara wote ama ningewapa adhabu ya kujitolea kufagia barabara hata kwa wiki nzima
 
Hamia pilsner then utanipa majibu,now arsenal 0-man city 2
 
jaribu bange

mkuu Makene, chupa moja ya bange inauzwa bei gani?. nitalipia hata lita kumi ili angalau nipate stimu. hizi laga noma, hamna kitu.
 
Pole, nina uhakika wewe ni mpenzi wa Liverpool la sio basi ni asenali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…