Hizi Bendera, Matangazo na Tshirts za kampeni zinachefua!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi Bendera, Matangazo na Tshirts za kampeni zinachefua!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jumboplate, Sep 30, 2010.

 1. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hivi kwa nchi maskini kama yetu tunapata wapi ujasiri wa kutuma fedha nyingi kiasi hiki kwa ajili ya matangazo makubwa (na mengi), bendera na tshirt nyingi kiasi hiki??inatia huzuni sana ukienda hospitalini (ama zahanati) kukuta hakuna vitanda au mashuka kwa ajili ya wagonjwa wakati marobota ya vitambaa yanachezewa katika kampeni...wanafunzi tena sehemu zenye baridi sana hawana uniforms lakini wazazi wao wanapewa tshirt nyingi tu kwa ajili ya kampeni. Inaudhi sana......
   
 2. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Nchi ya wadanganyika inapelekwa kisanii zaidi.
  Wacha watu wavae mafulana na kanga na baada ya uchaguzi uvisikie vilio.
  Pesa wanatoa wapi?
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Tatizo hapa ni kuwa serekali ipo kwa ajili yake na sio wananchi.
   
Loading...