16:31Hezbollah fighters strike the headquarters of Zibdin barracks command in Israeli-held Shebaa Farms with two combat drones laden with a big amount of explosives: statemenkombora la kutungulia kifaru... kumbe nowadays kuna vifaru vina paa kama ndege.
hilo ni jambo jema, bora waishambulie israel ili waisrael wamalizane naye kabisa, wakae kwa amani. watamaliza kabisa Gaza, watamaliza kabisa Hezbullah na Yemen, adui sasa atabaki Iran. Israel wenyewe wanapenda hezbullah awashambulie ili wapate sababu ya kupiga.Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la utawala huo ghasibu.
Kwa mujibu wa televisheni ya Al-Jazeera, vikosi vya Hizbullah ya Lebanon vimeshambulia kwa kombora linaloongozwa kwa mitambo ngome ya kijeshi ya Al-Abad ya utawala wa Kizayuni iliyoko karibu na kitongoji cha Hula.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, vikosi vya Hizbullah vimerusha kombora la kutungua kifaru pia kuelekea ngome ya kijeshi ya Khurbatul-Manara.
Wakati huohuo, mizinga ya utawala wa Kizayuni imelenga maeneo ya Aljabin na Yarin yaliyoko kusini magharibi mwa Lebanon.
Katika siku zilizopita pia, jeshi la Kizayuni lilishambulia kwa mizinga maeneo ya mpakani mwa Lebanon.
Shambulio la kombora la Hizbullah
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi sasa makumi ya maelfu ya Wazayuni wamehama katika vitongoji vya walowezi vilivyoko kwenye mpaka wa pamoja na Lebanon kwa kuhofia mashambulizi ya Muqawama.
Siku ya Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, wanamapambano wa Muqawama wa Palestina walianzisha operesheni ya kushtukiza iliyopewa jina la Kimbunga cha Al-Aqsa kutokea Gaza (kusini mwa Palestina) dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni unaoikalia Quds kwa mabavu.
Katika hatua ya kulipiza kisasi na kufidia kipigo kikali na pigo kubwa ulilopata, utawala wa Kizayuni umechukua hatua ya kufunga vivuko vyote vya Gaza na hivi sasa unaendeleza mashambulio ya mtawalia dhidi ya maeneo ya makazi ya watu na vituo vya tiba vya Ukanda huo.
Uungaji mkono wa tawala za Magharibi kwa Israel kwa kisingizio cha kujilinda kumekuwa sawa na kutoa kibali kwa utawala huo wa Kizayuni cha kuendeleza mauaji ya kikatili na kinyama ya watoto na wanawake wa Kipalestina.../
Bora m23 ni battle hardenedKuna watu wanafananisha IDF na M23.
TUnaombea hekima itawale na amani ipatikane mabwana vita wapande zote imani iwaingie maana zinazoumia ni nyasi.hilo ni jambo jema, bora waishambulie israel ili waisrael wamalizane naye kabisa, wakae kwa amani. watamaliza kabisa Gaza, watamaliza kabisa Hezbullah na Yemen, adui sasa atabaki Iran. Israel wenyewe wanapenda hezbullah awashambulie ili wapate sababu ya kupiga.
Duh,hao Ndo wanaume wanakupa siku na muda.🤛Chanzo: X
Hezbollah gives the israelis an ultimatum to ceasefire: if the attacks on #Gaza don’t stop by Friday dawn, they will go to war
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai
Wazayuni wamehama katika vitongoji vya walowezi vilivyoko kwenye mpaka wa pamoja na Lebanon kwa kuhofia mashambulizi ya Muqawama.
Siku ya Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023,wanamapambano wa Muqawama wa Palestina walianzisha operesheniCode:
View attachment 2801474
Sasa lebanon inaenda kutawaliwa na israel, ilikuwa inatafutwa tu sababu ya kuwapiga. Mpaka halali wa nchi ya israel unaanzia Lebanon mpaka iraq mto fratiMasaa waliyotoa Hezbollah kwa Israel kusitisha mashambulizi Gaza yananakaribia kufikia tamati.
Jamaa wamewaambia Israel ya kuwa mpaka kufukia alfajiri ya ijumaa-(yaani kesho tarehe tatu novemba 2023) wawe wameacha kuishambulia Gaza maana kinyume chake wanaume hao wanaaoogopwa vibaya mno na jeshi Israel, watanunua ugomvi na kuingia mzigoni mazima.
Chanzo: X
Hezbollah gives the israelis an ultimatum to ceasefire: if the attacks on #Gaza don’t stop by Friday dawn, they will go to war
Nasikia serikali ya kizayuni inailima gaza kwa mabomu...Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza kwa kushambulia ngome za jeshi la utawala huo ghasibu.
Kwa mujibu wa televisheni ya Al-Jazeera, vikosi vya Hizbullah ya Lebanon vimeshambulia kwa kombora linaloongozwa kwa mitambo ngome ya kijeshi ya Al-Abad ya utawala wa Kizayuni iliyoko karibu na kitongoji cha Hula.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, vikosi vya Hizbullah vimerusha kombora la kutungua kifaru pia kuelekea ngome ya kijeshi ya Khurbatul-Manara.
Wakati huohuo, mizinga ya utawala wa Kizayuni imelenga maeneo ya Aljabin na Yarin yaliyoko kusini magharibi mwa Lebanon.
Katika siku zilizopita pia, jeshi la Kizayuni lilishambulia kwa mizinga maeneo ya mpakani mwa Lebanon.
Shambulio la kombora la Hizbullah
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi sasa makumi ya maelfu ya Wazayuni wamehama katika vitongoji vya walowezi vilivyoko kwenye mpaka wa pamoja na Lebanon kwa kuhofia mashambulizi ya Muqawama.
Siku ya Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, wanamapambano wa Muqawama wa Palestina walianzisha operesheni ya kushtukiza iliyopewa jina la Kimbunga cha Al-Aqsa kutokea Gaza (kusini mwa Palestina) dhidi ya ngome za utawala wa Kizayuni unaoikalia Quds kwa mabavu.
Katika hatua ya kulipiza kisasi na kufidia kipigo kikali na pigo kubwa ulilopata, utawala wa Kizayuni umechukua hatua ya kufunga vivuko vyote vya Gaza na hivi sasa unaendeleza mashambulio ya mtawalia dhidi ya maeneo ya makazi ya watu na vituo vya tiba vya Ukanda huo.
Uungaji mkono wa tawala za Magharibi kwa Israel kwa kisingizio cha kujilinda kumekuwa sawa na kutoa kibali kwa utawala huo wa Kizayuni cha kuendeleza mauaji ya kikatili na kinyama ya watoto na wanawake wa Kipalestina.
View attachment 2801474
Masaa waliyotoa Hezbollah kwa Israel kusitisha mashambulizi Gaza yananakaribia kufikia tamati.
Jamaa wamewaambia Israel ya kuwa mpaka kufukia alfajiri ya ijumaa-(yaani kesho tarehe tatu novemba 2023) wawe wameacha kuishambulia Gaza maana kinyume chake wanaume hao wanaaoogopwa vibaya mno na jeshi Israel, watanunua ugomvi na kuingia mzigoni mazima.
Chanzo: X
Hezbollah gives the israelis an ultimatum to ceasefire: if the attacks on #Gaza don’t stop by Friday dawn, they will go to war
Nasikia serikali ya kizayuni inailima gaza kwa mabomu...