Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Jamani huyu mtu alikuwa anafurahisha saana kijiwe na stori zake za kipolisi pamoja na siasa ndani yake mbali na kuwa na tuhuma kadhaa zinazomkabili ikiwemo ya kuingia mitini na rambirambi za the late mwangosi.
Mwenye taarifa au kama yupo mwenyewe atujuze maana kimya kimekuwa kingi na tunawakosa makamanda kindakindaki humu jukwaani wa kariba yake.
Mwenye taarifa au kama yupo mwenyewe atujuze maana kimya kimekuwa kingi na tunawakosa makamanda kindakindaki humu jukwaani wa kariba yake.