tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Habari zenu wapendwa ktk kristo?
Leo ni birthday yangu,x girl tulieachana takribani mwaka mmoja sasa kawa mtu wa kwanza kuniwish.
Kanitumia text yenye maneno matamu kweli{ingawa sina uhakika kama yametoka moyoni mwake kiukweli kweli} saa 6:02 usiku wa leo,pia kanitumia vimaua huko wattsap na cha kustaajabisha eti kaweka picha yangu ya nilivyokua chalii mdogo kama dp yake afu kaandika "namshukuru mungu kwa kumleta huyu kiumbe duniani akanikutanisha nae,nilimpenda.
Nampenda na nitampenda siku zote za maisha yangu,happy birthday my gentleman"kiukweli nimebaki kushangaa tu maana hatukua na mawasliano ya ukaribu sana kivile toka tumeachana,ila mwenzangu hayo maujumbe yake aliyoniwish yamenikosha sana. wakuu,nirudishe majeshi kwa huyu x cute wangu au nategwa tu hapo?