Naomba mnisaidie katika hili, hivi wivu unanafasi gani katika mahusiano ya kimapenzi? Inamaanisha akiwa na wivu juu yako ni kwamba anakupenda sana au maana yake ni nini?
Wivu haukwepeki mazee mi nilikuwa sijajua jinsi gani nna wivu ila nilipokuta text za matako mmoja nsiemuelewa elewa kwenye simu ya shemeji yenu kilichontokea hakisimuliki. Hapo ndipo niliamini kujinyonga katika malovee kunawezekana kabisa.
Naomba mnisaidie katika hili, hivi wivu unanafasi gani katika mahusiano ya kimapenzi? Inamaanisha akiwa na wivu juu yako ni kwamba anakupenda sana au maana yake ni nini?
Tafuta pesa kijana.... Wivu unasomesha watoto bhana.... Wivu unaleta chakula nyumbani.... Wivu unafanya investments.... ?? Niambie habari ya kusaka MANOTI.... Wivu ndio makitu gani maisha haya aiseeeee......!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.