Nashukuru umeshasema kuwa vijana chini ya 30 yrs hawajui yaliyo kuwepo kabla.
2012-30 unapata mwaka 1982.
Mwaka huo mimi nilikuwa Pemba, Chakechake, Machomanne.
Miaka hiyo ya 1980's na 90's ilikuwa muhimu sana kisiasa, na ndio ilikuwa miaka ya watu kama kina Mangula.
Believe me , miaka hiyo kwa watu waliokuwepo(wanasiasa) hata Mangula alikuwa hafui dafu!
Lakini kitu kizuri juu ya P Mangula ni kuwa he is a thoroughbred CCM Cadre.
He talks the talk and walks the walk.