Hivi Watanzania tuna matatizo gani, kuna umuhimu wa kujitathimini upya.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,819
49,016
Tunatumbua turufu tunakumbatia garasa huku tukiota Tanzania ya viwanda.
FB_IMG_1491211625541.jpg
FB_IMG_1491211637845.jpg
 
Chief Quinine una ukweli mchungu kama jina lako! Shida yetu watanzania pamoja na zingine ni moja kubwa, tunafikiria leo tuu!! Kesho inajisumbukia yenyewe, hili ni jambo la hatari sana!!!!
 
Unataka kusema mtoto wa mtukufu ni garasa?

Presidentbwa wanyonge wa kolomije hataniwi
 
maamuzi ya mtanzania mmoja yasicloud judgement yako mkuu..
 
Chief Quinine una ukweli mchungu kama jina lako! Shida yetu watanzania pamoja na zingine ni moja kubwa, tunafikiria leo tuu!! Kesho inajisumbukia yenyewe, hili ni jambo la hatari sana!!!!
Sema shida yako,usijumuishe watu wote ! Kama wewe IQ yako ni duni si Watanzania wote !
 
Yaani hii nchi basi tu, nilicho na uhakika hii ndiyo nchi Mungu aliyotupangia ila sina uhakika kama viongozi tulionao Mungu katuchagulia.
 
Sema shida yako,usijumuishe watu wote ! Kama wewe IQ yako ni duni si Watanzania wote !

....wenzio wataelewa, wewe pita kushoto!!!!! Yumkini umevamia jukwaa sio size yako!! Wenye umaskini wa mawazo kama wewe mpo, sishangai!!!!
 
Back
Top Bottom