Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,111
- 158,967
Kila ninapokua na pesa huwa sikosi mdada wa kunifanyia hayo yote, kasoro namba 10 tu,matatizo yangu huwa napambana nayo mwenyewe!
Bebee naomba talaka.
Kila ninapokua na pesa huwa sikosi mdada wa kunifanyia hayo yote, kasoro namba 10 tu,matatizo yangu huwa napambana nayo mwenyewe!
Bebee talaka siwezi kukupa!
Bebee naomba talaka.
Akuu!! Matatizo yatakuhusu mwenyewe.Bebee talaka siwezi kukupa!
Wewe naamini tutakua pamoja hata kwenye matatizo