February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,204
- 3,060
Kwahyo binadamu kuwa juu ya wanyama ndio riketi ya wanyama wote kuteseka?Imeandikwa,enendeni mkavitawale ndege wanyama na wadudu.hivyo binadamu hivyo vyoote viko chini yake.wanyama kutafunana ni tamaa tuu na uroho
Kwanini kunguru haliwi?Imeandikwa,enendeni mkavitawale ndege wanyama na wadudu.hivyo binadamu hivyo vyoote viko chini yake.wanyama kutafunana ni tamaa tuu na uroho
Watakuambia na sisi wanatutesa ...si unaona wanachotufanyia tembo, simba, chui, mamba nkMungu kwanini aliruhusu wanyama wateseke?
Sisi kuteswa na wanyama wanaweza kusema ni kwasababu adam alikuka tunda, hivyo hiyo ni mitihani ya hapa duniani ili watakaovumilia na kumfuata mungu wakapate neema zote mbinguni....Watakuambia na sisi wanatutesa ...si unaona wanachotufanyia tembo, simba, chui, mamba nk
Hailiwi na nani? Wewe mbwa unakula? Una uhakika mbwa haliwapgi popote hapa duniani?Kwanini kunguru haliwi?
Kwanini kicheche haliwi
Kwanini nungunungu haliwi
Kwanini minyoo haibanikwi na kuliwa?
Wewe unamtawalaje Nyangumi?Imeandikwa, enendeni mkavitawale ndege wanyama na wadudu.hivyo binadamu hivyo vyoote viko chini yake wanyama kutafunana ni tamaa tuu na uroho
Sijamtaja mbwaUna uhakika mbwa haliwapgi popote hapa duniani?
umetaja mnyama ,mbwa sio mnyama?Sijamtaja mbwa
Labda una mahaba naye siwezi kushangaaumetaja mnyama ,mbwa sio mnyama?
Hahah , [emoji1787]nmecheka knyamaLabda una mahaba naye siwezi kushangaa
Mhh. Mimi nakula Nungunungu (porcupine). Kwa uhakika nyama yake ni tamu kuliko nyama ya kuku wa kienyeji.Kwanini kunguru haliwi?
Kwanini kicheche haliwi
Kwanini nungunungu haliwi
Kwanini minyoo haibanikwi na kuliwa?
Huyu jamaa kama akikubali kutoka nje ya box, huenda ataacha maswali yake hayo eti mbwa haliwi, kicheche haliwi, nungunungu haliwi n.k.Hailiwi na nani? Wewe mbwa unakula? Una uhakika mbwa haliwapgi popote hapa duniani?
Mimi ntasema babu yangu Adam alikula tunda.Na wewe mleta uzi umemkosea nini Mungu hadi uwe kitoweo chake ardhi [emoji848][emoji2960]
Viumbe hawana free will wala utashi wa kuelewa chochote...Kwanini Mungu awaingize kwenye hii dhahama?Kwa kulingana na Biblia utaona kuwa, viumbe vyote vilitiishwa kwa Adabu wakati wa uumbaji. Mwanzo 1:26-28.
Kwa kuwa vilivyotiishwa kwako ametenda dhambi, navyo vilianguka kwenye kundi la dhambi kama imavyosema katika RUMI 8:19-22 "19. KWA MAANA VIUMBE VYOTE PIA VINATAZAMIA KWA SHAUKU KUBWA KUFUNULIWA KWA WANA WA MUNGU. 20. KWA MAANA VIUMBE VYOTE PIA VILITIISHWA KATIKA UBATILI SI KWA HIARI YAKE, ILA KWA SABABU YEYE ALIYEVITIISHA KATIKA TUMAINI. 21. KWA KUWA VIUMBE VYENYEWE NAVYO VITAWEKWA HURU NA KUTOLEWA KWTIKA UTUMWA WA UHARIBIFU HATA VIINGIE KATIKA UHURU WA UTUKUFU WA WATOTO WA MUNGU. 22. KWA MAANA TWAJUA YA KUWA VIUMBE VYOTE PIA VINAUGUA NAVYO VINA UTUNGU PAMOJA HATA SASA.