Wanataka vyoteWasalamu wanajamvi
Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza. Kukawa na mawasiliano ya kawaida.
Wiki hii kamenitafuta kanasema kanahisia kali za kimapenzi juu yangu,nikashangaa mno. Ndani ya mshangao kanaanza kunitumia picha za shepu lake kalivyo siku hizi.
Niko na ndoa na hilo kanalijua,nimekazidi miaka kumi na nane, nawaza hivi nikikanyandua na ikajulikana si itakuwa fedheha ya mwaka[emoji848]
Sasa nilitaka kujua kwenu ke,hivi huwa mnataka kitu gan ili mtulie kwenye ndoa zenu?
Mbona wewe unakua wa hovyo kiasi hicho, hako kabint kandogo kameweza je kuvuta attention yako, hayo matokeo ni mengi kwa wanawake hapa kazini na mitaani ila hatuyawandiki hapo, kwasbb mwanaumme kamiri unauwezo wa kupuuzia hisia za mwanamke yoyote awe mdogo au mkubwa ndo jinsi walivyo umbwa. Huo ni udhafu wao wa kkmsumbile, hamna haja ya kushangaa hata wakwako huenda ana moja anae mshobokea tena anaweza kua kijana wa boda bodaWasalamu wanajamvi
Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza. Kukawa na mawasiliano ya kawaida.
Wiki hii kamenitafuta kanasema kanahisia kali za kimapenzi juu yangu,nikashangaa mno. Ndani ya mshangao kanaanza kunitumia picha za shepu lake kalivyo siku hizi.
Niko na ndoa na hilo kanalijua,nimekazidi miaka kumi na nane, nawaza hivi nikikanyandua na ikajulikana si itakuwa fedheha ya mwaka[emoji848]
Sasa nilitaka kujua kwenu ke,hivi huwa mnataka kitu gan ili mtulie kwenye ndoa zenu?
Wanataka usichokua nachoWasalamu wanajamvi
Kadada kamoja ka mtaani kwetu,sikukashobokea tangu kamekuwa hapa mtaani. Kameolewa ndoa ya kanisani mkoa jirani miezi minne iliyopita,mume anafedha na anakapenda sana.
Sasa mwezi uliopita kakanitafuta kanaomba ushauri wa shida fulan inayohusiana na ujuzi wangu nikakaelekeza. Kukawa na mawasiliano ya kawaida.
Wiki hii kamenitafuta kanasema kanahisia kali za kimapenzi juu yangu,nikashangaa mno. Ndani ya mshangao kanaanza kunitumia picha za shepu lake kalivyo siku hizi.
Niko na ndoa na hilo kanalijua,nimekazidi miaka kumi na nane, nawaza hivi nikikanyandua na ikajulikana si itakuwa fedheha ya mwaka🤔
Sasa nilitaka kujua kwenu ke,hivi huwa mnataka kitu gan ili mtulie kwenye ndoa zenu?
KamuulizeWasalamu wanajamvi