nashindwa kuwaelewa ujue?? mbona mnazeeka mapema hivi?? tatizo nini?? juzi i met this woman ambaye tukiwa sekondari nilikua natumia muda mwingi sana kumwandikia barua kumfuata kwao weekend na vurugu zote zile za ujana. aisee amekua kama my ganny!! naona hata aibu kuwaza kuwa huyu ndio yule??? aisee jipendeni basi hata kidogo.
Ungemuuliza ana watoto wangapi ndio ungepata jibu. mwanamke anapaswa atunzwe atunzike, sio mwanaume unamtreat mke kama mpo jeshini, au wewe baba yake khaa! sura itaacha kukunjamana, hapo bado kuzaa. kila siku tumbo kuleeee kisa mnajaza dunia, aisee hapo lazima mwanamke awe bibi hasa akiwa nayeye ana uchafu wake wa asili ndio shida juu ya sheeeeeeedah!
Stress za maisha hizo mkuu!Mwanamke anataka matunzo sio mazoezi tu hata lishe mavazi na mambo mengine madogomadogo na umaskini wetu wa tz + jua kali lazima uzeeke kabla wakati wako!!
Mtu kwa wiki anapigwa na wanaume wa 3,, tena wanaokula nyagi... Unategemea nini. Lazma awe bibi.
Haaaaaaa kumbe sperm ni sumu