Hivi wanawake mna nini?

Best hujakosea naishi hivyo hivyo kuliko kabisa ili mradi hanisumbui kichwa .
TUNAHESHIMIANA .
naukimwona hutajua ni malaya anaheshima sana ni anajiheshimu.
Ila cmu zake zinaita kama dalali.
Duh, shosti una matusi ya reja reja aisee😂😂
 
Wewe dada kwa maelezo yako uliyotueleza humu mbona kama nakufahamu kutokana na huo wasifu wa mumeo na wasifu wako, changamoto hiyo hadi mwandiko wako kama nimeukariri hivi,si kwa ubaya ila ni kwa kukuheshimu tu niruhusu nije pm nijue kama ndo au wewe au nimekufananisha na wala siji kukutongoza ila ni kwa kufahamiana tu kiufupi.
 
Karibuuu
 
Pole sana katoto .
Mungu akutetee, huwezi kumbadilisha mtu tabia.
 
Alie elewa anifafanulie ! Uandishi gani huu jamani?
 
Pole sana katoto .
Mungu akutetee, huwezi kumbadilisha mtu tabia.
Ndioo .
Kushindwa kuishi na mume
Ni awe anakupiga .
Hakutunzi
Hakupendi
Hakuamini
Hakujali ila kama ni tabia mbaya na anafanya kwa siri basi unakubali.
 
Unakumbukumbu dah hongera alinimdhibiti nikajidhibiti
Akaniacha akaenda kwa mwingine
Poa acha mwamba na yeye adhibitike uko nje, akiachwa atatulia, ni mwendo wa bampa tu bampa
So it's your turn, relax
 
Hii thread uliandika ukiwa juu ya kifua cha mtu ??
 
Una udugu na Don Nalimison?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…