Hivi wanawake huwa mnawachukuliaje wanaume wasiokunywa pombe kabisa?

Walevi wanavyohangaika na wasiokunywa pombe ni sawa na wale jamaa wa mikoani wanavyohangaika na wanaume wa Dar ilhali wao hawana time nao.
 
habari zenu wakuu na poleni na mihangaiko ya maisha.
swali langu ni kwa wanawake, hivi huwa mnawachukuliaje wanaume wasiokunywa bia kabisa?binafsi washikaji zangu wasiokunywa bia huwa nawaona kama hawako vizuri upstairs.

Wanaweza kukupigia ukiwa unaagiza beer ningine
 
Ninyi walevi hebu acheni zenu, kwa hiyo mnanataka kutuchonganisha na warembo amah😀😀😀😀😀
Wewe agiza Heineken sijui drosty hof mimi nachill na mirinda yangu nyeusi. Kila mtu aishi anavyotaka.
 
Raha ya mwanamke awe anapiga kinywaji. Mkienda kunako, apate apendacho kama ni wine, Savana, Amarura or whatever.
 
Back
Top Bottom