Hivi wanawake huwa mnawachukuliaje wanaume wasiokunywa pombe kabisa?

Habari zenu wakuu na poleni na mihangaiko ya maisha.

Swali langu ni kwa wanawake, hivi huwa mnawachukuliaje wanaume wasiokunywa pombe kabisa? Binafsi washikaji zangu wasiokunywa bia huwa nawaona kama hawako vizuri upstairs.

Naomba mungu akupe jicho la mbali ili uone kuwa wewe ndiyo haupo vizuri
mimi maisha yangu yote now nina 33yrs sijui ladha ya bia, konyagi, wala pombe yoyote.................

nikikaza sana huwa nakunywa robnson wine 2glass
 
wanaume wanaokunywa pombe wanapiga kimoja chali kuamka mpaka kesho yake asubui ndio anastuka kumbe nipo na gashi
 
Aisee!

Habari zenu wakuu na poleni na mihangaiko ya maisha.

Swali langu ni kwa wanawake, hivi huwa mnawachukuliaje wanaume wasiokunywa pombe kabisa? Binafsi washikaji zangu wasiokunywa bia huwa nawaona kama hawako vizuri upstairs.
 
Nina miaka 41 sijawahi kunywa pombe ila nasikia zinasaidia sana kutoa stress nataka nijifunze
Ukitaka kutoa stress jaribu kuwa na kitu specific unachokipenda ! Situmii pombe Ila Mambo yakiwa magumu huwa napenda sana kusikiliza music stress zote zinapotea
 
Back
Top Bottom