Hivi wanaume mnakwama wapi jamani??

Ukiwa kama mwanamke basi tambua ilo ni jukumu lako kumuweka mumeo au mpenzi wako katika hali ya usafi na siyo kulalamika.
Weeeee nikuweke msafi jitu zimaa kwani hujui kujisafishaa maishaa ya kudekeza wanaume kama watoto yashapitwaa na wakati period
 
Kwa sababu gani? Kwa sababu mwanaume ndo anahudumia au? Na vipi kama mwanamke ndo anahudumia?
Nisaidiee kushangaaa ww yaan niangaliee watoto na yeye piaa bado nikashughulike na usafi wake tena wa mwili bora wa nguo naweza sema jukumu langu hadi kumuogeshaa???hell no
 
Lakini na nyie kuna mnaonuka PAPAA utafikiri panya kafia huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…