Hivi wanaume mashoga wanapokamatwa wanawekwa selo ya wanaume au ya wanawake?

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
mashoga%2B(2).jpg

Nimejikuta nikijiuliza swali hili baada ya kusoma habari hii ya kitambo kidogo iliyowahi kuwekwa hapa Jamii Forum kuhusu mashoga watano waliokamatwa jijini Dar es salaam. Je waliwekwa katika selo ipi?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lapolisi-dar-limewakamata-mashoga-watano.html

Naomba Mods wasihamishe huu uzi katika jukwaa la sheria

CC: Ruttashobolwa, Kaizer, EMT, Nyani Ngabu, Kiranga, BAK, Gaijin, snowhite, gfsonwin, lara 1, Asprin, Eiyer, sosoliso, jouneGwalu, Mbu
 
Last edited by a moderator:
Not sure, ila nasuggest wawekwe kwa wanawake make huko watakuwa kama nyuki wa mashineni watachezea tu unga....
ila wakipwelekwa kwa midume, hawatatamani kutoka selo.
 
Hakuna jinsia inayotambuliwa kama "shoga", hoivyo wanawekwa lupango stahiki kwa mujibu wa jinsi zao za kiume.

Kwa kuongezea labda ajiulize kwa nini wanakamatwa in the first place?

Akishapata jibu itakuwa rahisi kwake kujua the right selo.
 
Duuh hawa itabidi wawekwe kwa upande wa jinsia ya kiume lol.. Ila Polisi wafanye la busara kwa kuwagaia mipira hao mahabusu ili kuwalinda..
 
ila si wanajua kuwa wengi wa mashoga ni kwa sababu ya ongezeko la unajisi...na jela kunasifika kwa hilo...sasa kama mtu atapelekwa jela si ndo kama anapelekwa jikoni kabisa kujilia vyake?
 
Hakuna jinsia inayotambuliwa kama "shoga", hoivyo wanawekwa lupango stahiki kwa mujibu wa jinsi zao za kiume.
watu8 hebu niambia jinsia hiyo ya kishoga haitambuliwi hapa Tanzania peke yake au duniani kote?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kuongezea labda ajiulize kwa nini wanakamatwa in the first place?

Akishapata jibu itakuwa rahisi kwake kujua the right selo.

Bado hujajibu swali langu EMT naona unazunguka tu
 
Last edited by a moderator:
watu8 hebu niambia jinsia hiyo ya kishoga haitambuliwi hapa Tanzania peke yake au duniani kote?

Katiba ya Tanzania inatambua mtu mume na mtu mke tu, pasi na shaka hata elimu ya uumbaji na maumbile.

Kwa mujibu wa sheria mama ya kujamiiana ya Tanzania, kufanya mapenzi kinyume na maumbile au watu wa jinsia moja ni kosa la jinai.

Mataifa mengine wameanza kutambua uwepo wa mashoga (mahusiano ya kimapenzi) lakini sio jinsia kwa mantiki ya gender status, nadhani habari hizi utakuwa umepata kuzisikia lakini pamoja na kuwatambua lakini wakifanya makosa yanayowalazimu kuswekwa lupango basi wanajumuika na wanaume wenzao huko jela.
 
Gerezani wanakuwa na sello zao na maeneo yao ya kukaa hawachangamani na wengine na ulinzi mkali wa Askari.
 
Katiba ya Tanzania inatambua mtu mume na mtu mke tu, pasi na shaka hata elimu ya uumbaji na maumbile.

Kwa mujibu wa sheria mama ya kujamiiana ya Tanzania, kufanya mapenzi kinyume na maumbile au watu wa jinsia moja ni kosa la jinai.

Mataifa mengine wameanza kutambua uwepo wa mashoga (mahusiano ya kimapenzi) lakini sio jinsia kwa mantiki ya gender status, nadhani habari hizi utakuwa umepata kuzisikia lakini pamoja na kuwatambua lakini wakifanya makosa yanayowalazimu kuswekwa lupango basi wanajumuika na wanaume wenzao huko jela.

Sipati picha mda wa kutoka ukifika km watakubali maana watakuwa na mababy wao hapo jela
 
Hapo wanawekwa. Kwa wakume nawakiwekwa basianaanza nyapara kumparamia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hivi Zinduna umenichoka?

Kwanini unanimention kwenye hii siredi ya kisodoma?

Kwakweli umeharibu siku yangu leo

Gharama ya kuirudisha siku yangu mahala pake unaijua

Hebu fanya irudi halafu ndio nitajibu swali lako!!
 
Last edited by a moderator:
mashoga%2B(2).jpg

Nimejikuta nikijiuliza swali hili baada ya kusoma habari hii ya kitambo kidogo iliyowahi kuwekwa hapa Jamii Forum kuhusu mashoga watano waliokamatwa jijini Dar es salaam. Je waliwekwa katika selo ipi?

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...lapolisi-dar-limewakamata-mashoga-watano.html

Naomba Mods wasihamishe huu uzi katika jukwaa la sheria

CC: Ruttashobolwa, Kaizer, EMT, Nyani Ngabu, Kiranga, BAK, Gaijin, snowhite, gfsonwin, lara 1, Asprin, Eiyer, sosoliso, jouneGwalu, Mbu

Duh.... kuna watuhumiwa watakuwa wamejipatia halua ya bure bilahiiiii

Afu Zinduna sikunyingine usinimention kwenye makitu ya namna hii.............Khaaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom