Hivi Wanasiasa wote Kenya ni Wahalifu?

Hivi Wanasiasa wote Kenya ni Wahalifu?

Joined
Jan 28, 2026
Posts
81
Reaction score
36
Tumeshuhudia Rais William Ruto na aliyekua naibu wake Rigathi Gachagua wakitupiana maneno na matusi na wakianika uhalifu wa mwengine.

Gachagua amedai rais Ruto amefilisisha makampuni ya umma ili anufaike na pia akaanika mipango ya rais kuiba billioni saba.

Rais Ruto nae amedai Gachagua alimpachika mimba binti mdogo na baadae kumtoa uhai. Je, wanasiasa wote ni wahalifu na uhalifu wao umefichwa tu?

Na kama kuna ushahidi, mbona wanasiasa hawa hawajaripoti ili sheria ichukue mkondo wake?
 
Back
Top Bottom