Wanamaanisha damu yako na wife wako maana wao watakuwa tayari ughaibuni wakiangalia kupitia screen.
Kwahiyo mkuu haihuwahusu wao,watoto wao wala wake zao?
Tusaidiane kujibu mada, je kwa nini damu imwagike? Huwa wanamaanisha nini?Itamwagika ya kwao, familia zao na koo zao.
Watatetea misimamo yao hata kama ni kwa shari,uvunjifu wa amani na hata kifo,aidha wao wafe au waue. Tafsiri rahisi ni hiyo,kama kuna maana tofauti wanayoikusudia,ni heri waulizwe ili wafafanue.Tusaidiane kujibu mada, je kwa nini damu imwagike? Huwa wanamaanisha nini?
Wanamaanisha damu za wananchi wa kawaida (wao hawapo), tena wakiwa wanaongea utafikiri wanaongelea damu ya mbuzi au kuku, wanasiasa ni ni watu hatari sana, lakini HAKI ni jambo la muhimu sana kuliko Amani na kama HAKI haitendeki katika taifa lolote basi hakutakuwa na amani na damu za wananchi wa kawaida wasio na hatia zitamwagika ili walio madarakani walinde maslahi yao ndiyo mambo yalivyo

Lakini neno haki,kila mtu analitafsiri na kuliweka anavyoona lina FAIDA Kwake.Hata jambazi anaona ni HAKI YAKE Kuvamia kwa UHURU.kWA MANTIKI HIYO HUTTOKUJA KUIONA HAKI DUNIANI.Wanamaanisha damu za wananchi wa kawaida (wao hawapo), tena wakiwa wanaongea utafikiri wanaongelea damu ya mbuzi au kuku, wanasiasa ni ni watu hatari sana, lakini HAKI ni jambo la muhimu sana kuliko Amani na kama HAKI haitendeki katika taifa lolote basi hakutakuwa na amani na damu za wananchi wa kawaida wasio na hatia zitamwagika ili walio madarakani walinde maslahi yao ndiyo mambo yalivyo
Mkuu wewe hadi kupata permit ya kuingia nchi za nje utakuwa umehustle sana
HAKI ni nini????????Kila mtu anachokipigania anaona NI HAKI YAKE,SASA NI NANI MWENYE HAKI NA NI NANI WA KUMPA MTU HAKI.Wanaongea kulingana na historia inavyoonesha, pasipo haki basi damu humwagika.
Angalia mfano wa yule kijana mtunisia alivyojichoma moto kutokana na kuharibiwa kibanda chake cha biashara...machafuko yakaenea.
Ila mara nyingi wanasiasa hutufanya chambo sie wa hali ya chini, ilhali wanahakikisha familia zao zinakuwa safe....