Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,365
Wadau,
Nipo sehemu fulani hapa nimepumzika sasa pembeni kuna ukumbi kuna kama semina Fulani Hivi inafanyika ya walimu.
Sasa kilichotokea mpaka nikaamua kuleta huu mjadala ni kwamba wametoka nje nafikiri ni mapumziko.
Walimu hawa wanapiga kelele wanacheka kama watoto wadogo yani hapa kila mtu amebaki mdomo wazi tunaulizana kuna nini tunaambiwa hawa ni walimu wapo semina.
Kwakweli badilikeni walimu mnapokutana mjaribu kuwa watulivu mnasumbua sana mnakuwa kama watoto.
Tafadhali msinishambulie nimeona nawashauri tu.