Awali ya yote napenda kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwapongeza kwa kazi nzuri hapa ktk jukwaa letu. mimi leo nimeamuwa kuwapeni huu ubuyu kama mtataka umumunyeni na kama mkiona vipi utupeni lakin huu ndio ukweli wa serikali ya Genius Magufuli hatutaki ujinga tunataka nidhamu na kila mtu lazima afuwate sharia na kama hazijuwi ajuwe tayari amesha pwaya kwenye serikali ya Magu.
Kiukweli kabisa baada ya uzi huu nategemea wakurugenzi wote chini ya serikali ya Mh Magufuli watakuwa na akili mpya na mawazo mapya ktk kufanya kazi 2017. Hata hivyo nilazima tujuwe Mh Rais kama alivyo sema kwenye kufunga mwaka bado anawatu majipu na lazima awatumbuwe hatanii wala hafanyi masihara yupo very serious nivyema kila kiongozi akaacha tabia za panya mabaka zakujaribu kwenda kumfunga paka kengele maana bila shaka kabla yakumvika kengele paka atakuwa ameshakuwa kitoweo kizuri cha Paka.
ndugu wa Tanzania najuwa kila mtu sasa amejaa hofu namanunguniko ya jins mkuu anaendesha serikali yake ila nataka niwaambie pasipo kugugmizi tena kwa herufi kubwa THIS IS NOT ONE MAN SHOW BUT GOVERNMENT SYSTEM SHOW. Jamani naomba kila mtu ajuwe this time Mh Rais anaongoza serikali yake kwakufuwata taratibu na sharia zinaongoza ikulu. Nivyema kila mtu akafunguwa macho nakujuwa huyu Rais anasikiliza sana sana na kuzichambuwa taarifa zakiusalama kwa kila kiongozi wa alie chini yake.
Labda niwakumbushe huko nyuma kulikuwa na tabia moja mbaya sana ambayo kwa kiasi kikubwa iliutesa utawala wa Mh J. K. Hawa wakurugenzi walikuwa wakitumika vibaya sana kisiasa kuwahujumu mawaziri nakufanya ktk serikali kila waziri alie chaguliwa kufanya kazi kwa mashaka na kutojiamin na mara nyingine kujikuta akiwa kitu kimoja na wakurugenzi ilikulinda ugali wake.
Ktk utawala huu mambo yamebadilika sana Mh Rais kama mlikuwa hamuelewi ameamuwa kuwa karibu sana na mawaziri wake nakuwawajibisha watendaji wake ambao wana weka figisu figisu kwenye utendaji wa mawaziri.
Wewe kama ni kiongozi wa chini unafanya mambo yako pasipo kumshrikisha au kupata ushauri wa mawziri w Magu ukiikiri waziri atatumbuliwa basi juwa this time utamuwacha waziri ila wewe utaenda na maji.
Pia nilazima mjuwe mzee ameweka sikio ake chini ya ardhi anasikia mpaka kile kinaongelewa kule kwa mjumbe wanyumba kumi. nivyema viongozi wa juu hasa makatibu wakuu pamoja na wakurugenzi wamashirika na teule za Rais kuwa makini nakuffuwata taratibu maana zipo tetesi shoka limeshwekwa sawa kukata watu wote wanao ihujumu serikali ya Mh Magufuli. Mungu ibariki Tanzania na Rais wetu. amen.