Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,920
- 3,755
Kwa kiasi kikubwa washajua Mungu hayupo hao bado wapowapo hata kuolewa kwenyewe wanajua ni magumashi tu.unavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu waangalie wenzen waislamu,wanavyojiheshimu.hiyo n nadhir kuwa waislamu wapo kwenye maadil.ila wakristo wapo kinyum na maandiko ndio mm nataman kuoa muislam,maana n wazur na wanaheshima.venye mtu anavaa ndivyo alivyo ila nawarai wadada wakirsto heshimun ibaada,n sehem patakatifu.fanya huo uchaf ukiwa nje sio ibadan,mnaleta dhamb ibadan
Waniboa sana kwanz ibadanMtoto wa kiume kutwa unawasimanga wadada, ni kama haileti picha nzuri vile.
Sasa kuvaa nguo fupi shida iko wapi kijanaunavaa nguo inayokubana,sketi fup ,transparent alafu upo ibadan,unatuonyesha nn maana sio bure unakosa mume kwa sababu ya tabia yako chafu ebu waangalie wenzen waislamu,wanavyojiheshimu.hiyo n nadhir kuwa waislamu wapo kwenye maadil.ila wakristo wapo kinyum na maandiko ndio mm nataman kuoa muislam,maana n wazur na wanaheshima.venye mtu anavaa ndivyo alivyo ila nawarai wadada wakirsto heshimun ibaada,n sehem patakatifu.fanya huo uchaf ukiwa nje sio ibadan,mnaleta dhamb ibadan
Binti naona mada imekuchoma kama pasi,vaeni nguo zinazostiri maungo yenu,au mnakua kwenye matangazo ya biashara?
Mkuu,mada inasema kwenye Nyumba za ibada,Kwamba Waisilamu hawavai Sketi Fupi na nguo za kubana?