Hivi wadada kwa nini hampendani?

Willy T

JF-Expert Member
Mar 21, 2016
253
91
Habari ya wakati ndugu zangu wana JF

Hii imekuwa kero sasa mpaka nimeona ni bora tushirikishane
Hivi kwanini wasichana au dada zetu hawapendani?

Unakuta wasichana wanasemana wenyewe kwa wenyewe tena kwa ubaya wengine wanasema na kwa wavulana

Sasa text zao wakiwa wanachat wenyewe utakuta;
Aa; My njoo nimekumis
Ab; Poa
Aa; Nikutumie chupi yangu mpya uone
Ab; Oooh WAo! Fanya basi na mimi nione
Aa: Umeionaa hny
Ab: Jamani my best hiyo Bei yake...

Akimaliza hapo sasa utasikia huyu Malaya anataka nini kwangu au ndio hao mwanaume wameshamuhonga?

Angejuaa mmmh!!
OK! Lengo langu sio hilo ni kwa hawa wanasema wawezeshwe na sisi
Tuko kwa gari na bibi mmoja anaumwaa kapanda wakati yuko pale wanawake wamekaa kwenye siti wala hawana habari .... Wanamkodolea macho

Mwingine msichana amepanda akachuchumaa ndani ya gari alafu wenzake tena mdogo nakutaka kumuuliza vipi unaumwa nikupe sitiii?
Jamani mpaka nikamuachia siti akae yaani wanaume wamelaumu kwa gari mwenzao anaumwa wapi kimya!!

Duh acheni Acheni acheni
 
Acha kufuatilia mambo ya wanawake,kwanza jifundishe kuandika kitu kitakachoeleweka na wasomaji na sio kitu ambacho utaelewa wewe peke yako tu!
 
Waache tu waoneane wivu tu maana hhamna namna ata haituhusu na ukitaka wapasuke kula na rafiki yake kisha mpe kick bestiye uje unipe mrejesho
 
Back
Top Bottom