Watu wengi ni luzaz kwa kuwa tunafata kwa usahihi njia isiyo sahihi.
Fanya ujifunze au ujifunze ukafanye.... Who reverse the order. Knowledge vs Experience.
Mchungaji watu wamestadi ila wakija game ina wakamia.
Na ndio sababu ukifanikiwa watu wanauliza Mtaalam gani ulimwendea.