Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,926
Sio kwamba tuna low IQ. Mitazamo ndo changamoto mfano huku TZ mtu akiwa katika sekta fulani mfano TRA anawaza kujitajirisha tu ila wachina wanajituma na sio kama China hakuna wapigaji ila mifumo yao haibembelezi wapigaji unaweza pewa hukumu ya kifo.Viongozi wanatoka kwenye jamii.
Ukiona jamii inaviongozi walionyooka basi tambua kuwa hivyo ndivyo ilivyo jamii hiyo kwa kiasi kikubwa ukiona jamii ina viongozi wapuuzi wapuuzi na hivyo ndivyo ilivyo jamii nzima kwa kiasi kikubwa.
Afrika wamejaa watu wajinga wajinga wenye low IQ uthibitisho hata humu na mada zilizojaa humu za kipuuzi puuzi tu.
👐😃😃🤣Hiyo elimu ya engineering imetoka wapi? Yaani wewe uwe unajambo lako utamchagua mkaririji ama aliyetunga mtihani?
Aligunduaje muda!!! Pamoja na kusoma na kuandika?Mgunduzi wa Muda ni mtu. Mweusi
Mgunduzi wa kuandika na kusoma ni mtu mweusi tika Misri huko
Kwahio ulimaanisha Africa as a Continent which means hata Elon Musk na yeye ni Muafrica, so in that case tunamuweka katika kundi gani ?Hayo mambo ya ngozi nani kayazungumzia hapa ?
Unandika ujinga sijui hata kama unasoma unavyoa andika.
Kwanini hutaki kukubali kuwa uwezo wetu wa akili ni mdogo!!?Sio kwamba tuna low IQ. Mitazamo ndo changamoto mfano huku TZ mtu akiwa katika sekta fulani mfano TRA anawaza kujitajirisha tu ila wachina wanajituma na sio kama China hakuna wapigaji ila mifumo yao haibembelezi wapigaji unaweza pewa hukumu ya kifo.
Bado hujanishawishi kivile🙁FBI ni kazi inayohitaji watu wenye akili sana unakuta tukio la uhalifu limetokea bila ya kuachwa ushahidi wowote lakini mtu anaweza kuanalyse ile crime scene vizuri na kujua yaliyotokea hatua kwa hatua.
Kwamba kipindi cha utoto ulikuwa sawa na Isaac Newton au Nikola?Kwahio ulimaanisha Africa as a Continent which means hata Elon Musk na yeye ni Muafrica, so in that case tunamuweka katika kundi gani ?
Nimeongelea Eugenics as a whole ndio kuna hizo imani kwamba kuna some superior and inferior beings wakati kumbe its all about mazingira.... na kila mtu anakuja as a Clean Slate...., Tabula Rasa.., And as of now tumezungukwa na watu kama wewe wanaodhani hatuwezi hence it's going to get worse before it gets better...
Kaangalie kituko cha barabara huko Kigoma walichofanya hao ma engineer wazawa, ndio utajua sisi bado tunasafari ndefuMimi naamini akili tunazo lakini hakuna kusupportiana huku Africa. Mfano huku Tz kuna maengineer lakini mpaka leo barabara zetu wanajenga wachina.
Wewe una hoja.Sokwe, tumbili, nyani n.k wanatofautiana kwenye kufikiria; hata sisi binadamu kutokana na mionekano yetu, pia tunatofautiana kwenye uwezo wa kufikiri.
Ukijiuliza swali, weupe au weusi unasababishwa na nini, na ina athari gani katika kufikiria, tunaweza tusifikie muafaka.
Kama binadamu wote tungekuwa sawa, kusingekuwepo na binadamu pori mpaka leo hii, ambao wanaishi kwa kuhama hama na kuwinda.
Ugiriki unaweza kuifananisha na nchi gani hapa Afrika ?Ila "civilisations rise and fall". Mfano ugiriki ilikuwa ni taifa lenye nguvu kuwahi kutokea yenye magenius kama Archmedes na Pythagoras lakini leo iko wapi ukija kwa Marekani ilikuwa na red Indians wasiokuwa na maajabu lakini leo inatesa. Wacha inyeshe tuone panapo vuja.
Unaandika ujinga tuKwahio ulimaanisha Africa as a Continent which means hata Elon Musk na yeye ni Muafrica, so in that case tunamuweka katika kundi gani ?
Nimeongelea Eugenics as a whole ndio kuna hizo imani kwamba kuna some superior and inferior beings wakati kumbe its all about mazingira.... na kila mtu anakuja as a Clean Slate...., Tabula Rasa.., And as of now tumezungukwa na watu kama wewe wanaodhani hatuwezi hence it's going to get worse before it gets better...
Kama unahisi una low IQ hilo ni tatizo lako usitujumuishe sote. Wapo watu weusi kama Ben Carson na Lewis Latimer walioishangaza dunia wagoogle kama huwajui.Kwanini hutaki kukubali kuwa uwezo wetu wa akili ni mdogo!!?
Ila "civilisations rise and fall". Mfano ugiriki ilikuwa ni taifa lenye nguvu kuwahi kutokea yenye magenius kama Archmedes na Pythagoras lakini leo iko wapi ukija kwa Marekani ilikuwa na red Indians wasiokuwa na maajabu lakini leo inatesa. Wacha inyeshe tuone panapo vuja.
Pengine ni msomi wa chuo kikuu, lakini hiyo elimu hamsaidii yeye wala jamii anaishia kujidharau! Msomi asiyejiamini!Tuanze na ww mwenyewe ni mabadiliko gani chanya umeleta au changia katika jamii yako
Ma Engineer wa mchongo.Kaangalie kituko cha barabara huko Kigoma walichofanya hao ma engineer wazawa, ndio utajua sisi bado tunasafari ndefu
Ukiona viongozi hawana akili jua jamii nzima imejaza watu wajinga wajinga tu viongozi wanatoka humo humo kwenye jamii.Unaweza kuwa nazo nyingi tu ila viongozi wako wakiwa hawana akili basi hizo zako utasota nazo mpaka kifo
Wewe unajiamini kwa kipi hasaPengine ni msomi wa chuo kikuu, lakini hiyo elimu hamsaidii yeye wala jamii anaishia kujidharau! Msomi asiyejiamini!