Wenye Maakili mengiWenye nini hao wazungu?
nimeanza-kuamini-ulegelege-wetu-waafrika-kama-bara-katika-maendeleo-unatokana-na-wastani-wa-iq-ya-umma-kuwa-chini-sana-sehemu-ya-ii.2281226Niliwahi kuiuliza ChatGPT, kwakuwa ni mada sensitive ikawa inaleta majibu ya kiungwana. Ila ukweli ni kwamba Waafrika mbongo zetu hatuzitumii ipasavyo.
Mimi naamini: mazingira, mfumo wa maisha, elimu, na umasikini ndiyo vyanzo vikuu vya Waafrika kuwa nyuma katika mambo ya msingi.
1. Mazingira yanayomzunguka mtu yana nafasi kubwa sana kuchangia fikra, maamuzi na matendo ya mtu.
2. Mfumo wa maisha ya Waafrika ni kuamka, kunywa chai, kazi, kula mchana, kazi, kula usiku, kulala, kesho mzunguko unaanzia palepale kwa muda wa mwaka mzima: hapa tunazungumzia waganga njaa ambao bila kutoka kitandani basi siku hiyo ni hohehahe tu na hii ndiyo namba kubwa ya Waafrika wanaishi hivi. Hapa ndiyo unapata taifa la watu ambao mwaka mzima anafanya kazi non-stop, akipata muda wa kupumzika kichwani anawaza atalipaje bills za mwezi ujao akiwa tayari ana madeni na mshahara umeisha.
3. Elimu, hii wala haina haja kuelezea. Teknolojia imekuja ku-expose elimu yetu vibaya mno, wachache wenye nacho wanapeleka watoto wao International Schools, wengine wanakimbilia nje kupata angalau vyeti vya kimataifa kwa ngazi za juu.
4. Umasikini. Hapa ndiyo tatizo lilipo, Waafrika bado tunasumbuliwa na mambo mengi madogomadogo kutokana na umasikini. Huwezi kuwaza mambo makubwa ikiwa mlo wa siku tu ni shida, huo mlo kamili wa kufanya mwili wa binadamu ufanye kazi sawasawa ndiyo haupatikani kabisa.
Haya matatizo siyo kwamba nchi zilizoendelea hayapo ila wenzetu wamefika sehemu namba kubwa ya raia wao wanapata mahitaji yote muhimu: mlo kamili, elimu bora, afya bora; wenzetu wanafanya mpaka therapy kwaajili ya afya ya akili huku afya ni mwili tu na hapo ni hadi mtu azidiwe ndiyo anatafuta hospitali ilipo.
Akili ya binadamu inahitaji focus ya hali ya juu sana kufanya kazi ipasavyo, Mwafrika ni rahisi sana kuwa distracted kulingana na mazingira aliyopo.
Hujajua mambo mengi. Waafrika tuna akili na tunagundua vingi. Lakini mzungu hayuko tayari mwafrika atangeze kugundua mbele yake. Ama uyahongwa unyamaze qatangaze wao, ukileta ubishi utazikwa. Labda uwe ugunduzi ambao hauna madhara sana kiuchumi.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Kwani hoja imesema waAfrika wa mwaka upi? 2025? Basi ngoja huu mwaka uishe tuone. Otherwise nachukulia ni waAfrika wa miaka yote, iwe kale au jana, ni waAfrika.Unaanza ongea mambo ya kale baada ya Uhuru watanzania mmeshindwa panga Mitaa au kusambaza Maji wakati vyanzo mnavyo.. mmeshindwa tengeneza vyuma wakati chuma na makaa ya mawe mnayo. Mmeshindwa kuendesha uchimbaji WA madini Kwa manufaa ya taifa mmeachia wahindi na wachina. Bandari mmegawa Kwa waarabu na wanyama mnauza Kwa promotion. Ukitaka kujua Jamii imejaa wapumbavu Angalia maamuzi yao
Sasa na wewe hilo la kuuliza?Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Ben Carson nadhan hakuwa wa kwanza kutenganisha watoto vichwa. Ila alikuwa mweusi wa kwanza.Wapo watu weusi walikulia nchi za ughaibuni na wamefanya gunduzi tunazozitumia leo. Mfano Lewis Latimer alibuni bulb zinazotumia filament na hata three light traffic light imegunduliwa na mtu mweusi bila kumsahau Ben Carson neurologist aliyeishangaza dunia.
Alitenganisha mapacha ambao madaktari bingwa duniani walisema hawawezi kutenganishwa ila yeye akafanya hayo maajabu soma kitabu chake cha GIFTED HANDS.Ben Carson nadhan hakuwa wa kwanza kutenganisha watoto vichwa. Ila alikuwa mweusi wa kwanza.
Kwani mzungu alisapotiwa na nani mpaka akafika hapo alipo? Jibebe mwenyewe aacha kumsingizia mtu.Wazungu wenyewe hawapendi sisi tuwe wagunduzi na hii yote nikutokana na kutokuwa na imani na mtu mweusi
Hivi unadhani tukiwa wagunduzi wazungu watatusapoti ikiwa sisi kwa sisi hatusapotiani.
Acha tuwe hivihivi kama manyumbu, uchawi kwa sana
Yaani mtu nweusi hususani Tz akiona mtoto wajilani anafanya vizuri darasani anamroga, sasa huo ugunduzi utatoka wapi
Kwani hoja imesema waAfrika wa mwaka upi? 2025? Basi ngoja huu mwaka uishe tuone. Otherwise nachukulia ni waAfrika wa miaka yote, iwe kale au jana, ni waAfrika.
Hayo mengine yote ni masuala ya ubinafsi na rushwa tu, na sio kukosa akili., maana hata kuiba pesa za miradi ya maji na barabara inahitaji akili pia. Mfano lile jizi Andrew Chenge, kasoma hadi Havard, hana akili yule?
Usichanganye Uadilifu na Akili!
Wewe Tu Ndo Akili Huna Mara Nyingi Machizi Hivyo Ndivyo Wanawazaga.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Sio wote wengine tuna akili kuzidi wazungu na wachina.Habari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Acheni kujidanganya, kwamba Mafarao walikuwa weusi then wakakimbia nchi au waliuliwa!? Mbona leo hawapo wala vizazi vyao havipo? Historia huwa haifutiki.Kuna jambo kubwa linalozidi ujenzi wa Mapyramid? Hadi leo hakuna mtu mwenye uelewa wa jinsi walivyopandisha mablock ya tani kadhaa hadi juu…,Na usidanganyike ukafikiri hawa wamisri waarabu ndio walikuwa mafarao, Mafarao walikuwa ni waAfrika weusi wenye asili ya kama watu wa Sudan hivi..
Tunajadili uhalisia hapa, hizo story za kusadikika baki nazoKama ukisoma biblia kwa utulivu, utabaini kuwa waafrika tumelaaniwa. Waafrika tumetokana na ukoo wa yule mtoto wa Nuhu aliyelaaniwa na baba yake baada ya kumkuta akiwa uchi....yeye badala ya kumfunika, akaanza kumcheka...na kuishiwa kulaaniwa milele.
waafrika tuna akili sana,angalia pyramids za misri,kulikuwa na biashara kubwa sana mangaribi ya afria wakati huokukiwa na tajiri mkubwa mansa musa,unaambiwa ata mayahudi asili yao ni afrika,ata malikia wa sheba alizaa na mfalme daudi,,,unaambiwa ata YESU mwenyewe jamaa wanasema ni mzungu lakini ni mweusi vladmir putin alwaumbua wazungu,lakini ata Q'RAN TUKUFU inasema 'na tuchukue udongo mweusi ambao ukiganda ukionganga unalialia na tumfanye binadamu,,,,,ata pale kibibosho moshi wazungu walipofika na magobore yao walikuta wenyeji wanamilikiadvance bunduki,wazungu waliwakata mikono hao jamaa,,,ata pale upareni kuna ukoo walikuwa maarufu kwa ufuaji chuma lakini nao walikatwa mikono wengine waliuwawa,at chifu mkwawa,alikuwa na akili nyingi sana lakini walimkata kichwa na kukipeleka ujerumani,pia kuna malikia mmoja likuwa akitawa singinda alipambana na wajerumani balaa!! so kimsingi waafriaka tumefanyiwa brain wash!!!ata leo hii wakufunzi wengi wanaofundisha vyuo ulaya ni waafrika!! so usiwe mnyonge 2po vizuri!!,,,na kwa taarifa yako waafrika ndo wanaopooza hasira ya MUNGU asiangamize duniaHabari za ijumaa wanajamiiforums?
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ni kwanini hatuna akili?
Siongelei akili ya darasani, Bali naongelea akili yenye impact katika maisha ya binadamu.
Hakuna teknolojia yoyote ambayo mwafrika amefanikiwa kuanzisha, Yani inshort ni kuwa sisi Waafrika huenda tupo hivi kiasili.
Mwafrika mtu asiyekuwa na akili zaidi katika uso wa dunia.
Alisapotiwa na mazingira wezeshiKwani mzungu alisapotiwa na nani mpaka akafika hapo alipo? Jibebe mwenyewe aacha kumsingizia mtu.
Kule uarabuni watumwa wengi weusi walikuwepo, leo wako wapi? Mbona Marekani wapo? Historia haifutiki ndio, na ndio maana mabaki ya mapharaoh yaliyokuwa mummified yamefanyiwa vipimo vya DNA na kuonyesha wakikiwa waAfrika, unataka uthibitisho gani zaidi ya DNA?Acheni kujidanganya, kwamba Mafarao walikuwa weusi then wakakimbia nchi au waliuliwa!? Mbona leo hawapo wala vizazi vyao havipo? Historia huwa haifutiki.
ndonn hikiAlisapotiwa na mazingira wezeshi
Mkuu Acha fujo bhana!!!!! Mbona unafujo mtu mweusi mwenzangu???ndonn hiki