Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,886
- 5,624
Join the club. Wameweka AI kabla hawajaifahamu. Ukiwapigia huongei ns binadamu bsli software.Kwa muda mrefu Vodacom wamekuwa ndio mtandao wangu namba moja na pendwa.
Katika siku za karibuni Vodacom wanakuwa kutoka ukubwa wa Simba na kurudi kuwa Paka na wakiendelea hivi watakuwa Panya kabisa!
Sikiliza maelezo yao kwa mteja unapopiga namba 100 ni ya kipuuzi sana na hakuna option tena ya kuongea na Mhudumu wetu!
Eti ubunifu wao ni kumwambia mteja mwishoni mwa maelezo yao walio rekodi ya kipuuzi eti kama unataka kusikiliza maelezo haya tena bonyeza ...., badala ya kum- refer mteja kwa "mhudumu wetu" ujinga mtupu!
Hivi nyie Vodacom mnadhani mnajua kila tatizo alilonalo mteja wenu?! Hivyo changamoto mlizorekodi ndizo mnajua ndizo changamoto pekee za mteja!
Mnadanganywa na Wataalam vi.laza!
Kwenye international platforms tunakofanya " instant payments" option ya mobile banking kupitia mitandao ya simu za hapa Nchini, Vodacom mmekuwa useless kabisa!!
Kwa muda mrefu Vodacom wamekuwa ndio mtandao wangu namba moja na pendwa.

Mbwa hao tena mashoga kabisa ,hata siku hizi hakuna huduma za wateja kwa Vodacom, wapuuzi sanaKwa muda mrefu Vodacom wamekuwa ndio mtandao wangu namba moja na pendwa.
Katika siku za karibuni Vodacom wanakuwa kutoka ukubwa wa Simba na kurudi kuwa Paka na wakiendelea hivi watakuwa Panya kabisa!
Sikiliza maelezo yao kwa mteja unapopiga namba 100 ni ya kipuuzi sana na hakuna option tena ya kuongea na Mhudumu wetu!
Eti ubunifu wao ni kumwambia mteja mwishoni mwa maelezo yao walio rekodi ya kipuuzi eti kama unataka kusikiliza maelezo haya tena bonyeza ...., badala ya kum- refer mteja kwa "mhudumu wetu" ujinga mtupu!
Hivi nyie Vodacom mnadhani mnajua kila tatizo alilonalo mteja wenu?! Hivyo changamoto mlizorekodi ndizo mnajua ndizo changamoto pekee za mteja!
Mnadanganywa na Wataalam vi.laza!
Kwenye international platforms tunakofanya " instant payments" option ya mobile banking kupitia mitandao ya simu za hapa Nchini, Vodacom mmekuwa useless kabisa!!
Nisaidieni nimenunua bando la elfu mbili, sasa inagoma sipati MB, na Wala sidaiwi mkopo, na hawanipi bando na salio linabaki vile vileKuongea na mteja wanaona ni kero ndio maana wameficha ficha mpaka kuongea nao ubonyeze Sana