Nkwabichalleslutonja
Member
- Jul 12, 2017
- 84
- 77
unampez wako Mara unaskia unaambiwa Wang nipe hela nilipie nguo nimeshona kwa fundi hata hujamtaarifu ,swali je?umeajuaje kama atakuwa nayo hiyo hela unayodaiwa na huyo fundi kwangu binafsi hiyo nachukulianga zarau na always siwez kukupa kwani ni picha mbaya inaashiria utakuwa na deserve mwingine kwamba hata ukikataa fulan atalipia ,hii kwenu imekaaje wa jf.
