Hivi viumbe kwa kulalamika

Hivi viumbe kwa kulalamika

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,958
Wanawake kwa kulalamika ni hatari na nusu unaweza kujishitukia unaomba msamaha wewe wkt kakosea yeye asee
○ Ukimkosoa kidogo tu kesi zote za nyuma ulizowahi kfanya zinaanza upya tena, apo lzm uomb poo au kimbilie kijiweni adi usiku😁
○ Mara umebadilika sana sio km zamani yaani basi tu
○Utasikia kama umenichoka niambie tu nijiondokeee 😁
○ Kwenye chakula cha usiku elewa kwanza neno chakula cha usiku hapo ndo atari sisi wnaume tunawahi kusahau au kupotezea sasa unkuta mwenzio bado hio siku hulambi kitu ng'ooo hio siku atavaa mabukta ya jeans au suruali ya jeans .
○ hio siku utanuniwa mpaka basi huongeleshwi
Wanawake kwanini huwa mnafanya hivi? Hamjui kwamba mnahatarisha ndoa zenu unaponyima unyumba una maana gani?
Tukichepuka kulalamika sana hadi wazazi watajua asee
Nakazia hapa wanawake mkubali kukosolewa kwenye ndoa zenu kwanini mkikosolewa mnaanza kununa nuna hovyo ilhal mnjua mmekosea!!
 
Back
Top Bottom