Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Kweli Mkuu.Uko sahihi kabisa Mkuu,kuna watu Sigara zinawatesa lakini ni ngumu kwao kuacha kuzivuta coz wamekua tayari ni addicted,hakuna mvuta Sigara asiyejua madhara ya Sigara!
Kuna watu wamekua ni watumwa wa Pombe lakini wameshindwa kuziacha! Zipo thread nyingi tu humu JF watu wakitaka ushauri jinsi ya kuacha pombe na sigara, kua muangalifu sana unapotaka kufanya jambo,usidanganyike na muonekano wa nje wa watu.
Nahisi kubania tuDaktari anakushauri uache kuvuta sigara ukitoka nje unamkuta anavuta sigara
Si useme tu huwa hutumii kabisaAddiction na Ubinadamu, Mfano mimi ni Public Health Advocate huwa nawashauri watu wachemshe maji ya kunywa lakini mimi huwa sichemshi kabisa, nakunywa maji yoyote na sipati madhara yoyote - Nawashauri watu kutumia kondomu lakini binafsi nachukia ila basi tu.
Hiyo ID yako daah!! Eti kabinti spesho,nimecheka sana aisee!!Si useme tu huwa hutumii kabisa
Reliable source niende ocean road au??Ugonjwa ni siri ya mgonjwa,hata kanuni za kidaktari haruhusiwi kutangaza ugonjwa wa mgonjwa kwa watu wengine,si rahisi kama unavyofikiria kujua mtaani kwako nani ni mgonjwa wa kansa? Tena juu ya hivyo ujue hiyo kansa yake imesababishwa na Sigara!!
Mkuu ukitaka kupata accurate figure ya results ya hivi vitu,unatakiwa upate from reliable source.
Mkuu nimewahi kufanya kazi na wachina, walejamaa ni kiboko kwa kuvuta sigara,Mkuu usijaribu kujiingiza kwenye jambo ambalo watu walitumialo jambo hilo hujitahidi kutoka lakini wanashindwa.
Umeona eeh? Na ngada pia waneiruhusu alafu kwenye pakti wawe wanaandika maelezo kama yale walioandika kwenye sigara babekiKuna haja gani yakuweka tahadhari kwa kitu chenye madhara?, kwanini kisiteketezwe tu? Kama ni biashara kubwa basi haina mantiki. Kama ni hivo basi hata bange, unga ngada vyote ni biashara kubwa sana ya mabilioni kama Pombe na sigara, je ni halali kuidhinisha matumizi yake ila tuweke tu tahadhari kwa watumiaji?
Sasa sikiliza kijana, wewe kunywa hivyo viroba vyako,vuta sigara,vuta bangi hakuna aliyekushika mikono, kama ulishaona havina madhara hivyo ulivyovitaja ulifungua hii thread ya nini? Kwanini utuulize sisi wakati wewe ni mjuzi zaidi?Reliable source niende ocean road au??
Mbona ngada madhara yake hayajifichi??
Kwanini sigara madhara yake yasionekane?
Umeshindwa kutetea hoja sasa unaanza kunishambulia, au ndio ufahamu wako umeishia hapo?Sasa sikiliza kijana, wewe kunywa hivyo viroba vyako,vuta sigara,vuta bangi hakuna aliyekushika mikono, kama ulishaona havina madhara hivyo ulivyovitaja ulifungua hii thread ya nini? Kwanini utuulize sisi wakati wewe ni mjuzi zaidi?
Hoja gani niliyoishindwa kuitetea?Umeshindwa kutetea hoja sasa unaanza kunishambulia, au ndio ufahamu wako umeishia hapo?
Moja kati ya njia za kufanya research ni kuingia field ground, sasa kama sampo za mtaani umezikataa, sampo za kimataifa umezikataa, sasa wewe ni mtu wa aina gani? Unasema inamadhara lakini huwataji watu walioathirika ili tuwalinganishe na wazima kisha tupate majibu ya uhatari wake.. Umeishia kubwabwaja na kutaka upewe majibu ya kurembwa rembwa, Kula konaHoja gani niliyoishindwa kuitetea?
Wewe ndio umeshindwa kuweka evidence yako hapa kua Sigara,Pombe na Bangi havina madhara,eti ushahidi wako unatuwekea majina ya watu ambao hawazidi hata watano kua hawajadhurika na bangi,Sigara na Pombe!
Hivi unajua idadi ya kuchukua "Sample" kwa ajili ya kufanya research? hii mada umeileta kwa kuiangalia kimataifa,ndio maana ukatolea mifano ya Fidel castro,Che guevara,Bob marley na wengineo, halafu eti unataka uhesabu majirani zako ni wangapi wameathirika na sigara! Hiki ni kichekesho aisee!!
Ndio maana nikakwambia research ni fani na inasomewa sio kukurupuka tu eti Sigara,bangi na pombe havina madhara bila kua na ithbati yeyote,
Ni rahisi sana kuanzisha thread but ni ngumu kuiendesha na kuisimamia thread,msiwe mnakurupuka tu kuanzisha thread wakati uwezo wa kuiendesha na kuisimamia ni mdogo,pia jaribu kujifunze jinsi ya kurespond kwa member wanaochangia thread zako,sio kuleta vikejeli na dhihaki za kitoto toto.